Watanzania na Wana CCM wote tujaze Ile form ya Tume ya uchunguzi inaeleweka vizuri sana

Watanzania na Wana CCM wote tujaze Ile form ya Tume ya uchunguzi inaeleweka vizuri sana

Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda

Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka vizuri.

Uzalendo Daima
SAMIA NI MUUAJI NA MHAINI
 
Haina maana yoyote maana tume yenyewe ilishapewa maelekezo na Mtukufu Rais namna ya kufanya kazi na nani wa kumhoji!!!!

Kwa hiyo sisi raia hatuwezi kubadirisha kitu kufanya hivyo itakuwa kubariki mauaji ya kutisha yaliyofanywa na watawala Oct 29,2025.
Sisi tunajaza, Haina maana kwako
 
Back
Top Bottom