CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
CCM ina hazina kubwa sana ya majuha na wapumbavu na hao tu ndiyo wanaweza kufanya huo upumbavu.Sisi wazalendo tunajaza na tushajaza.
Wana CCM wote 🇹🇿
CCM ina hazina kubwa sana ya majuha na wapumbavu na hao tu ndiyo wanaweza kufanya huo upumbavu.Sisi wazalendo tunajaza na tushajaza.
Wana CCM wote 🇹🇿
Yaani kabisa unaiwasha VPN kuja kutuhubiri kujaza fomu ya wauaji ?!. Kuitukuza wasioitaka JF hewani!!.Form inaeleweka sana Wana CCM na watanzania wazalendo tunajaza kidigitar
Jaman mwenzenu hata sijaiona hyo fomu.. IpojeUchunguzi wa nini? Wa wale wahalifu wezi na waharibifu wa mali waliopigwa risasi au?
Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda
Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka vizuri.
Uzalendo Daima
Kwa akili zako unadhan hata vichaa wanapiga kura pole sana
Kwani yupo chinja chinja ameshaa andaa maji ya kunawia uso?Nawa uso kwanza ndo uje
Wapo ila sii kiiivyo unavyowachukulia!Humu kumbe Kuna matahira
Bado sijaelewaUtatumiwa meseji yenye link then tiririka hata dak 10 nyng, uzalendo Daima
Naomba nieleweshe mkuuSi wote wanaelewa haraka ni wale wenye akili tu ndo wanaelewa
Haina maana yoyote maana tume yenyewe ilishapewa maelekezo na Mtukufu Rais namna ya kufanya kazi na nani wa kumhoji!!!!Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29