Watanzania na Wana CCM wote tujaze Ile form ya Tume ya uchunguzi inaeleweka vizuri sana

Form inaeleweka sana Wana CCM na watanzania wazalendo tunajaza kidigitar
Yaani kabisa unaiwasha VPN kuja kutuhubiri kujaza fomu ya wauaji ?!. Kuitukuza wasioitaka JF hewani!!.

Fomu za nini ikiwa aliyeamuru watu wapigwe ndiyo walioiunda tume ?!
Labda huna kazi
 
Yaani kabisa unaiwasha VPN kuja kutuhubiri kujaza fomu ya wauaji ?!. Kuitukuza wasioitaka JF hewani!!.

Fomu za nini ikiwa aliyeamuru watu wapigwe ndiyo walioiunda tume ?!
Labda huna kazi
Toka 2015 upo jukwaan sema ndo akili huna
 
Kimbesa11 na Lucha
msitofautiane wote tuna nena lugha moja
hakuna ambaye anapenda hawa vibaka waharibu taifa letu.

its our duty and responsibility to protect our country wether by watershed or bloodshed.
 
Tupo tunajaza form ya Tume achana na mm kwanza
 
Haina maana yoyote maana tume yenyewe ilishapewa maelekezo na Mtukufu Rais namna ya kufanya kazi na nani wa kumhoji!!!!

Kwa hiyo sisi raia hatuwezi kubadirisha kitu kufanya hivyo itakuwa kubariki mauaji ya kutisha yaliyofanywa na watawala Oct 29,2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…