Watanzania safari za Kenya zimewashinda licha ya kuachiwa uwanja wote

Watanzania safari za Kenya zimewashinda licha ya kuachiwa uwanja wote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ndege za Tanzania zimeshindwa safari za Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako.

=====

The Tanzania-based Air Precision has cancelled planned resumption of flights to Nairobi just days after the government said it would not deny them traffic rights amid the ongoing standoff between the two countries.

In a notice published on the airline’s website, Precision Air said it was suspending the plans because of low demand of passengers seeking to fly.

Tanzania has stopped three Kenya airlines including Kenya Airways from flying to Dar, Zanzibar and Kilimanjaro after Nairobi excluded it from the list of safe countries whose citizen will not be subjected to mandatory 14 days quarantine on arrival.

“We regret to inform you that due to insufficient demand, we have postponed the resumption of Nairobi flights. A new date and schedule will be published on our website soon,” said the airline in the notice.

The airline was to resume flights tomorrow flying from Dar es Salaam via Zanzibar to Nairobi and back, and would have capitalised on the absence of Kenya Airways, which has a 40 percent stake on Precision Air, to meet the needs of travellers.

Zanzibar is one of the routes with the highest traffic in the region because of its resort nature that has made it popular with the tourists.

Prior to the ban, KQ which operates its regional hub from Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi, had a permit to fly 14 times to Dar es Salaam every week, three times to Kilimanjaro and two times to Zanzibar, mostly ferrying tourists and business travelers between the two destinations.

Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) director-general, Gilbert Kibe said talks are ongoing with Tanzania to allow resumption of KQ flights to Zanzibar and Dar es Salaam.

Prior to the ban on Kenya Airways flights, Kenya and Tanzania had been involved in retaliatory border blockades which affected thousands of truckers and businesses.

Kenya’s latest Covid-19 red-list is likely to heighten the stand-off with its neighbour Tanzania—possibly leading to more trade wars between the two nations.

Mr Kibe said Precision Air has an existing traffic rights that will not be nullified on the account of the existing stalemate between Kenya and Tanzania.

Kenya Airways, whose traffic rights to Tanzania were still valid at the beginning of this month when the carrier resumed international flights, were revoked by the Tanzanian authorities on retaliatory grounds.

Tanzanian airline cancels plan to resume Nairobi flights
 
Ukumbuke Watanzania hakuna kimsingi wanachofuata kenya, ina maana watalii siku hizi wanakuja moja kwa moja wanashuka Arusha, Dar, Zanzibar then wanaondoka moja kwa moja maana quaranteen ya kenya hawaitaki na ukumbuke Ethiopian Airline alikua na safari 4 kwa week now. Ana safari 14 kwa week
 
Kwenye hili tuendelee hivi hivi maana mliitangazia dunia kwetu kuna corona, dunia ikasema Tanzania ni mahali salama kufika na kwa sasa hadi ifike mwezi wa 11 ndio tutajadili baada ya uchaguzi na kuapishwa Rais, tumeruhusu wasanii wenu waje wapige kazi huku wachume pesa huku hakuna corona na watalii watashuka moja kwa moja huku na mashirika ya ndege ni hayo angalieni watalii kwetu walivoongezeka huku kwenu wakipungua.
 
Shirima kwenye Precision Airline ana hisa 42% na KQ kwenye Precision ana hisa 41% halafu hizo zinazobaki ni majority shares tukaona mnataka kutuzunguka nao wakaitwa wakapigwa ban ndio unaona mchongo ulivo waka cancell safari zao ili muipate fresh.
 
Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako.
What is so special over there
 
Nilifikiri ATCL 😂 itachukua hiyo nafasi kumbe ni kanchi kadogo ka Rwanda kataibuka mshindi! Tz ni Nchi kubwa bure kabisa.
Kenya haina influence yoyote Tanzania, Hakuna mtanzania mwenye interest ya kwenda Kenya, actually KQ ilikua inaleta wakenya na wageni waliokua waki connect kuja Tanzania lakini Tanzania kuja Kenya ilikua ni loop returns

Wakenya ndio siku zote mnashobokea Tanzania.
 
Kenya haina influence yoyote Tanzania, Hakuna mtanzania mwenye interest ya kwenda Kenya, actually KQ ilikua inaleta wakenya na wageni waliokua waki connect kuja Tanzania lakini Tanzania kuja Kenya ilikua ni loop returns

Wakenya ndio siku zote mnashobokea Tanzania.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Screenshot_20200903-072515.png
 
Hahahaha source please?

Cheap PowerPoint work 😅😅
Tafuta huo uzi humu Kenyan news and politics 😁 wengi wenu mlihepa. The reaction on Twitter was massive especially on South Africa, Kenya, Zimbabwe and Nigeria. Yani Kenya imezungukwa na majirani wanaoingia mtandaoni kuutafuta Kenya 😉😍😍
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1557099
Hahahaha naangalia youtube hapa kuna video 9 za Tanzania zipo top 20 trending in Kenya, wakati toka dunia imekuwepo Hakuna video yoyote kutoka Kenya imetrend Tanzania.

Tanzania youtube trendy contents zote ni za Tanzania I think this is the only country in the world kutokua na outside contents trending within the country.
 
Ukumbuke Watanzania hakuna kimsingi wanachofuata kenya, ina maana watalii siku hizi wanakuja moja kwa moja wanashuka Arusha, Dar, Zanzibar then wanaondoka moja kwa moja maana quaranteen ya kenya hawaitaki na ukumbuke Ethiopian Airline alikua na safari 4 kwa week now. Ana safari 14 kwa week

Mumekosa abiria na kushindwa, tatizo lenu chuki na uzembe, na ndio maana mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana wivu na chuki huwatafuna.
 
Tafuta huo uzi humu Kenyan news and politics 😁 wengi wenu mlihepa. The reaction on Twitter was massive especially on South Africa, Kenya, Zimbabwe and Nigeria. Yani Kenya imezungukwa na majirani wanaoingia mtandaoni kuutafuta Kenya 😉😍😍
Hakuna ushahidi wowote ni hicho kitwisted map tu, Hakuna source yoyote ya hiyo study.
 
Mumekosa abiria na kushindwa, tatizo lenu chuki na uzembe, na ndio maana mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana wivu na chuki huwatafuna.
😂😂😂😂😂😂 Yaani watanzania kutokua na time na Kenya ndio wivu na chuki? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nenda bus terminal Dar uone mabasi yanayoenda kwa ndugu zetu kusini yalivyosheheni abiria, watanzania hawana time na Kenya toka dunia imekua, ni hivyo tu mna bahati tunashare lugha lakini we have absolutely nothing in common with you.
 
Back
Top Bottom