Watanzania safari za Kenya zimewashinda licha ya kuachiwa uwanja wote

Watanzania safari za Kenya zimewashinda licha ya kuachiwa uwanja wote

Watu wapo bise na kampeni

Hehehe kampeni huwa za malofa, nakumbuka Mkapa aliwahi kusema.
Wajasiria hawana muda huo wanapiga hela, ila hawatumii ndege zenu.
 
Hahahaha naangalia youtube hapa kuna video 9 za Tanzania zipo top 20 trending in Kenya, wakati toka dunia imekuwepo Hakuna video yoyote kutoka Kenya imetrend Tanzania

Tanzania youtube trendy contents zote ni za Tanzania I think this is the only country in the world kutokua na outside contents trending within the country
Mi nafurahi jinsi other international airlines zime-capitalize on this dispute imagine tayari some zinafanya 14 flights a week! Imagine by end of September hali itakuwaje?
 
Mani nafurahi jinsi other international airlines zime-capitalize on this dispute imagine tayari some zinafanya 14 flights a week! Imagine by end of September hali itakuwaje?
unajua hawa jamaa walipanga KQ iendelee kutangaza routes za Tanzania destinations kama kawaida ila wakifika Nairobi wanawafaulisha kwenye hizi airlines 3 zilizopigwa ban juzi sasa sijui walifikiri Tanzania hatuna taarifa zao? 😂😂😂😂

Matokeo yake international airlines zote zimeongeza flights to Tanzania mpaka mara 10 kumwaga watalii, we can even better without them, hii ndio mwanakulisearch mwanakulifind 😂😂😂😂 flights kama zote.

 
unajua hawa jamaa walipanga KQ iendelee kutangaza routes za Tanzania destinations kama kawaida ila wakifika Nairobi wanawafaulisha kwenye hizi airlines 3 zilizopigwa ban juzi sasa sijui walifikiri Tanzania hatuna taarifa zao? 😂😂😂😂

Matokeo yake international airlines zote zimeongeza flights to Tanzania mpaka mara 10 kumwaga watalii, we can even better without them, hii ndio mwanakulisearch mwanakulifind 😂😂😂😂 flights kama zote


My patriotic advice
Aside demanding entrance of Tanzanian nationals in Kenya without 2 weeks mandatory quarantine, the GoT should not let any Kenyan airline resume flights before our airlines r granted permits to land in Mombasa, Kisumu n Eldoret from Dar, Zanzibar, Kilimanjaro n Arusha airports too!
 
MK254,

Ndo ujue hatuna umuhimu na ninyi ila ninyi ndio munashida na sisi mirija ya uchumi wenu tumeushikilia Sisi
 
Ukumbuke Watanzania hakuna kimsingi wanachofuata kenya, ina maana watalii siku hizi wanakuja moja kwa moja wanashuka Arusha, Dar, Zanzibar then wanaondoka moja kwa moja maana quaranteen ya kenya hawaitaki na ukumbuke Ethiopian Airline alikua na safari 4 kwa week now. Ana safari 14 kwa week
Hili sindano uliotumia kumuingizia dawa la punda hili [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii habari inamuuma Sana .unajua Ethiopia na Rwanda wanatamani hata kuilipa pesa TANZANIA tuzidi kukaza nati Kwa hawa [emoji205]
 
MK254,

Vikwazo vya anga vya TANZANIA Kwa kenya vimeathiri mpaka safari za huko ughaibuni watalii sasa hivi wanatumia sana Ethiopia ndio maana ruti zake zimeongezeka sana sasa hii ndio maana ya uchumi mkumbwa na mjomba Magu hana habari kama akijatokea kitu anacheza singeli tu mikoani huko.
 
Kwenye hili tuendelee hivi hivi maana mliitangazia dunia kwetu kuna corona, dunia ikasema Tanzania ni mahali salama kufika na kwa sasa hadi ifike mwezi wa 11 ndio tutajadili baada ya uchaguzi na kuapishwa Rais , tumeruhusu wasanii wenu waje wapige kazi huku wachume pesa huku hakuna corona na watalii watashuka moja kwa moja huku na mashirika ya ndege ni hayo angalieni watalii kwetu walivoongezeka huku kwenu wakipungua
Bila kusahau wachezaji wao wa mpira tena wanacheza hadi timu ya ya taifa lao
 
Shirima kwenye Precision Airline ana hisa 42% na KQ kwenye Precision ana hisa 41% halafu hizo zinazobaki ni majority shares tukaona mnataka kutuzunguka nao wakaitwa wakapigwa ban ndio unaona mchongo ulivo waka cancell safari zao ili muipate fresh,
Walitaka wajione wana akili kutuhujumu Kwa kutumia shirika la TANZANIA ,vita yeyote itakayoanzishwa na Kenya kwa TZ bc Kenya haiwezi kushinda
 
Mumekosa abiria na kushindwa, tatizo lenu chuki na uzembe, na ndio maana mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana wivu na chuki huwatafuna.
naona hilo bichwa limesheheni furushi la mavi na sio ubongo, yaani wakati kampuni nyingi zinafanya safari abiria hawakukosekana leo imebaki kampuni moja ndo abiria wakose? tulichokifanya ni kuwathiti kwa kisingizio cha abiria kukosa.
 
Hahahaha naangalia youtube hapa kuna video 9 za Tanzania zipo top 20 trending in Kenya, wakati toka dunia imekuwepo Hakuna video yoyote kutoka Kenya imetrend Tanzania

Tanzania youtube trendy contents zote ni za Tanzania I think this is the only country in the world kutokua na outside contents trending within the country
Sisi hatunaga shobo na vya watu kuna kipindi wakenya walikua wanahamasishana wasusie musiki wa bongo kwani waliweza ,walijaribu kuzuia mafuriko Kwa shuka baana harmonize kuachia huno tu mbona wote alikatika
 
naona hilo bichwa limesheheni furushi la mavi na sio ubongo, yaani wakati kampuni nyingi zinafanya safari abiria hawakukosekana leo imebaki kampuni moja ndo abiria wakose? tulichokifanya ni kuwathiti kwa kisingizio cha abiria kukosa.

Hehehe!! Hasira yote hii ya nini, itawachukua muda mrefu sana kufahamu mapungufu yenu, ndio mateso ya chuki, unaishia kuwa na hasira ilhali unayemchukia ananeemeka huku ukikwama wewe. Hii ilikua fursa kwenu ambayo ingesaidia dhidi ya ndege zenu kuota kutu, ila sasa ona mnavyokwama na kuishiwa abiria, ilhali wapo tu ni ile hawatumii ndege zenu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani watanzania kutokua na time na Kenya ndio wivu na chuki? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nenda bus terminal Dar uone mabasi yanayoenda kwa ndugu zetu kusini yalivyosheheni abiria, watanzania hawana time na Kenya toka dunia imekua, ni hivyo tu mna bahati tunashare lugha lakini we have absolutely nothing in common with you.
Na hiyo lugha c kwaajili ya Mombasa tu ina muingiliano mkubwa na watu wa Tanga na Zanzibar ndio bahati yao Kwanza Ile TANZANIA kabisa ilifaa tuirudishe mikononi mwetu
 
My patriotic advice
Aside entrance of Tanzanian nationals in Kenya, the GoT should not let any Kenyan airline resume flights before our airlines r granted permits to land in Mombasa, Kisumu n Eldoret from Dar, Zanzibar, Kilimanjaro n Arusha airports too!

What an advice!!🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️
Una akili kama nyuki yani bravo [emoji1319]
 
Suala la akili tulishalimaliza kule kwa uzi wa IQ, EAC yote mpo nyuma.

Kwa suala la corona pia tulishalimaliza, tulisema anayeng'ang'ania kuja kwetu kutokea Tanzania lazima apimwe maana mlishajichokea, na ndio kauli ya majirani zenu wote, Uganda kaweka jeshi kabisa pale mpakani, ila kwa majirani zenu wote mumeishia kuililia Kenya sana.

Kwa hili la ndege zenu kukwama, ni wazi hamkuwa na mkakati wowote, zali la mentali limewashukia ghafla ila kwa mlivyo wazembe hela zitaliwa na wengine, chuki huzaa umaskini, hadi siku mtajifunza kuishi bila chuki mtaganda sana tena kwa kipindi kirefu.
Poleni sana kwa maumivu bt inabidi mzoee maana mliyataka wenyewe, kwa sasa hatuna huruma na nyang'au maana tushaujua upumbavu wenu, dawa yenu ni kuwapga spana daily.
 
Nilifikiri ATCL 😂 itachukua hiyo nafasi kumbe ni kanchi kadogo ka Rwanda kataibuka mshindi! Tz ni Nchi kubwa bure kabisa.
Ww nawe ni zwazwa sasa ATCL ndio kwanza haija anza kuruka kwenda europe ruti zao ni Asia
 
Back
Top Bottom