luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hahaha we una fahamu ATCL wana dreamliner moja pekee kumbe? Dah they got twoDreamliner moja ndio itaenda Europe na Asia?? 😂😂😂 Afu msisahau kutua South Africa beberu hataikamata!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha we una fahamu ATCL wana dreamliner moja pekee kumbe? Dah they got twoDreamliner moja ndio itaenda Europe na Asia?? 😂😂😂 Afu msisahau kutua South Africa beberu hataikamata!
and 2 more orders placed!Hahaha we una fahamu ATCL wana dreamliner moja pekee kumbe? Dah they got two
Mnatrendisha zenu kwa sababu hamjui kizunguHahahaha naangalia youtube hapa kuna video 9 za Tanzania zipo top 20 trending in Kenya, wakati toka dunia imekuwepo Hakuna video yoyote kutoka Kenya imetrend Tanzania
Tanzania youtube trendy contents zote ni za Tanzania I think this is the only country in the world kutokua na outside contents trending within the country
Poleni sana kwa maumivu bt inabidi mzoee maana mliyataka wenyewe, kwa sasa hatuna huruma na nyang'au maana tushaujua upumbavu wenu, dawa yenu ni kuwapga spana daily.
Ivi kunya ni matajiri,ha ha unafiki sio mzuri.Mumekosa abiria na kushindwa, tatizo lenu chuki na uzembe, na ndio maana mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana wivu na chuki huwatafuna.
Ilo ndio jibu budaKwa hio hapa unatuthibitishia kuwa Watanzania hawahitaji Kenya ila wakenya wanaihitaji Tanzania?
Hivi ww kwa akili yako mtanzania alazimishe kuingia Kenya kufanya nn au Uganda hakuna cha kuchukua huko kwenuSuala la akili tulishalimaliza kule kwa uzi wa IQ, EAC yote mpo nyuma.
Kwa suala la corona pia tulishalimaliza, tulisema anayeng'ang'ania kuja kwetu kutokea Tanzania lazima apimwe maana mlishajichokea, na ndio kauli ya majirani zenu wote, Uganda kaweka jeshi kabisa pale mpakani, ila kwa majirani zenu wote mumeishia kuililia Kenya sana.
Kwa hili la ndege zenu kukwama, ni wazi hamkuwa na mkakati wowote, zali la mentali limewashukia ghafla ila kwa mlivyo wazembe hela zitaliwa na wengine, chuki huzaa umaskini, hadi siku mtajifunza kuishi bila chuki mtaganda sana tena kwa kipindi kirefu.
naona unaitafuta faraja kupitia maandishi, ninyi ndo mlifanya kila muwezalo kutuwekea vikwazo ili tukwame bt badala yake nyie ndo mmekwama, watalii wanajaa daily, mambo yanaenda kwa mwendo kasi wa ajabu.Siku nyingine ukikwamisha mtu, hakikisha na wewe unanufaika, sio uhangaike kumkwamisha mtu aliyekuzidi kiuchumi ila wewe umekwama kwenye umaskini, halafu hili lipo Bongo sana, mna hulka ya kuvutana nyuma ili mkwame wote, sasa ujinga ni pale wewe ni maskini wa kutupwa unahangaika kumvuta aliyekuzidi utajiri.
Hivi ww kwa akili yako mtanzania alazimishe kuingia Kenya kufanya nn au Uganda hakuna cha kuchukua huko kwenu
Siwezi kumaliza mb zangu kwa kufungua habar za KTN ila kimoyo moyo unjua mnavyo pata tabuuKwa mnavyong'ang'ania sijui ni njaa gani imewabana huko, mumepigwa pini na majirani zenu wote, Uganda kaweka jeshi kabisa ila kwa Kenya mnang'aka, mnatupigia makelele hadi tunawashangaa. Sema huwa mnanufaika sana kwa Kenya.
acha kushughulika na hilo zuzu maana mipango yao yote mibovu imebuma sasa yamebaki kuweweseka tu, kuomba msamaha yanaona aibu.Siwezi kumaliza mb zangu kwa kufungua habar za KTN ila kimoyo moyo unjua mnavyo pata tabuu
Of course that was crucial esteemed plan for ATC after delivery of the two highly advanced airbuses, amongst other new regional destinations, Nairobi was in.My patriotic advice
Aside demanding entrance of Tanzanian nationals in Kenya without 2 weeks mandatory quarantine, the GoT should not let any Kenyan airline resume flights before our airlines r granted permits to land in Mombasa, Kisumu n Eldoret from Dar, Zanzibar, Kilimanjaro n Arusha airports too!
Ndio vizuri sasa, pesa zote za adsense wanakula youtubers wa nyumbani, ninyi mkiview contents zetu ni kama mnatulipa sisi.Mnatrendisha zenu kwa sababu hamjui kizungu
Hahahaha nikikuvuta chini wewe tajiri na ukavutika chini, bado utajiita tajiri kwenye halaiki ya matajiri kweli?Siku nyingine ukikwamisha mtu, hakikisha na wewe unanufaika, sio uhangaike kumkwamisha mtu aliyekuzidi kiuchumi ila wewe umekwama kwenye umaskini, halafu hili lipo Bongo sana, mna hulka ya kuvutana nyuma ili mkwame wote, sasa ujinga ni pale wewe ni maskini wa kutupwa unahangaika kumvuta aliyekuzidi utajiri.
Watajibeba mwaka huuBado kuna wagonjwa 13,000+.
Kazi wanayoView attachment 1557121
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hebu soma tena ulichokiandika.Mumekosa abiria na kushindwa, tatizo lenu chuki na uzembe, na ndio maana mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana wivu na chuki huwatafuna.
Unaipenda sana Tanzania na unaifatilia kwa karibu,hadi alietoa kauli ya malofa unamjua,karibu ujiunge nasiHehehe kampeni huwa za malofa, nakumbuka Mkapa aliwahi kusema.
Wajasiria hawana muda huo wanapiga hela, ila hawatumii ndege zenu.
hujielewi dogo, precission air wana ubia na Kenya Air ways, kuiruhusu precission iende kenya ni sawa na kuiruhusu kenya air waysNdege za Tanzania zimeshindwa safari za Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako.
=====
The Tanzania-based Air Precision has cancelled planned resumption of flights to Nairobi just days after the government said it would not deny them traffic rights amid the ongoing standoff between the two countries.
In a notice published on the airline’s website, Precision Air said it was suspending the plans because of low demand of passengers seeking to fly.
Tanzania has stopped three Kenya airlines including Kenya Airways from flying to Dar, Zanzibar and Kilimanjaro after Nairobi excluded it from the list of safe countries whose citizen will not be subjected to mandatory 14 days quarantine on arrival.
“We regret to inform you that due to insufficient demand, we have postponed the resumption of Nairobi flights. A new date and schedule will be published on our website soon,” said the airline in the notice.
The airline was to resume flights tomorrow flying from Dar es Salaam via Zanzibar to Nairobi and back, and would have capitalised on the absence of Kenya Airways, which has a 40 percent stake on Precision Air, to meet the needs of travellers.
Zanzibar is one of the routes with the highest traffic in the region because of its resort nature that has made it popular with the tourists.
Prior to the ban, KQ which operates its regional hub from Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi, had a permit to fly 14 times to Dar es Salaam every week, three times to Kilimanjaro and two times to Zanzibar, mostly ferrying tourists and business travelers between the two destinations.
Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) director-general, Gilbert Kibe said talks are ongoing with Tanzania to allow resumption of KQ flights to Zanzibar and Dar es Salaam.
Prior to the ban on Kenya Airways flights, Kenya and Tanzania had been involved in retaliatory border blockades which affected thousands of truckers and businesses.
Kenya’s latest Covid-19 red-list is likely to heighten the stand-off with its neighbour Tanzania—possibly leading to more trade wars between the two nations.
Mr Kibe said Precision Air has an existing traffic rights that will not be nullified on the account of the existing stalemate between Kenya and Tanzania.
Kenya Airways, whose traffic rights to Tanzania were still valid at the beginning of this month when the carrier resumed international flights, were revoked by the Tanzanian authorities on retaliatory grounds.
Tanzanian airline cancels plan to resume Nairobi flights