Watanzania safari za Kenya zimewashinda licha ya kuachiwa uwanja wote

Watu wapo bise na kampeni

Hehehe kampeni huwa za malofa, nakumbuka Mkapa aliwahi kusema.
Wajasiria hawana muda huo wanapiga hela, ila hawatumii ndege zenu.
 
Mi nafurahi jinsi other international airlines zime-capitalize on this dispute imagine tayari some zinafanya 14 flights a week! Imagine by end of September hali itakuwaje?
 
Mani nafurahi jinsi other international airlines zime-capitalize on this dispute imagine tayari some zinafanya 14 flights a week! Imagine by end of September hali itakuwaje?
unajua hawa jamaa walipanga KQ iendelee kutangaza routes za Tanzania destinations kama kawaida ila wakifika Nairobi wanawafaulisha kwenye hizi airlines 3 zilizopigwa ban juzi sasa sijui walifikiri Tanzania hatuna taarifa zao? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Matokeo yake international airlines zote zimeongeza flights to Tanzania mpaka mara 10 kumwaga watalii, we can even better without them, hii ndio mwanakulisearch mwanakulifind πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ flights kama zote.

 

My patriotic advice
Aside demanding entrance of Tanzanian nationals in Kenya without 2 weeks mandatory quarantine, the GoT should not let any Kenyan airline resume flights before our airlines r granted permits to land in Mombasa, Kisumu n Eldoret from Dar, Zanzibar, Kilimanjaro n Arusha airports too!
 
MK254,

Ndo ujue hatuna umuhimu na ninyi ila ninyi ndio munashida na sisi mirija ya uchumi wenu tumeushikilia Sisi
 
Hili sindano uliotumia kumuingizia dawa la punda hili [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii habari inamuuma Sana .unajua Ethiopia na Rwanda wanatamani hata kuilipa pesa TANZANIA tuzidi kukaza nati Kwa hawa [emoji205]
 
MK254,

Vikwazo vya anga vya TANZANIA Kwa kenya vimeathiri mpaka safari za huko ughaibuni watalii sasa hivi wanatumia sana Ethiopia ndio maana ruti zake zimeongezeka sana sasa hii ndio maana ya uchumi mkumbwa na mjomba Magu hana habari kama akijatokea kitu anacheza singeli tu mikoani huko.
 
Bila kusahau wachezaji wao wa mpira tena wanacheza hadi timu ya ya taifa lao
 
Shirima kwenye Precision Airline ana hisa 42% na KQ kwenye Precision ana hisa 41% halafu hizo zinazobaki ni majority shares tukaona mnataka kutuzunguka nao wakaitwa wakapigwa ban ndio unaona mchongo ulivo waka cancell safari zao ili muipate fresh,
Walitaka wajione wana akili kutuhujumu Kwa kutumia shirika la TANZANIA ,vita yeyote itakayoanzishwa na Kenya kwa TZ bc Kenya haiwezi kushinda
 
Mumekosa abiria na kushindwa, tatizo lenu chuki na uzembe, na ndio maana mtaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu maana wivu na chuki huwatafuna.
naona hilo bichwa limesheheni furushi la mavi na sio ubongo, yaani wakati kampuni nyingi zinafanya safari abiria hawakukosekana leo imebaki kampuni moja ndo abiria wakose? tulichokifanya ni kuwathiti kwa kisingizio cha abiria kukosa.
 
Sisi hatunaga shobo na vya watu kuna kipindi wakenya walikua wanahamasishana wasusie musiki wa bongo kwani waliweza ,walijaribu kuzuia mafuriko Kwa shuka baana harmonize kuachia huno tu mbona wote alikatika
 
naona hilo bichwa limesheheni furushi la mavi na sio ubongo, yaani wakati kampuni nyingi zinafanya safari abiria hawakukosekana leo imebaki kampuni moja ndo abiria wakose? tulichokifanya ni kuwathiti kwa kisingizio cha abiria kukosa.

Hehehe!! Hasira yote hii ya nini, itawachukua muda mrefu sana kufahamu mapungufu yenu, ndio mateso ya chuki, unaishia kuwa na hasira ilhali unayemchukia ananeemeka huku ukikwama wewe. Hii ilikua fursa kwenu ambayo ingesaidia dhidi ya ndege zenu kuota kutu, ila sasa ona mnavyokwama na kuishiwa abiria, ilhali wapo tu ni ile hawatumii ndege zenu.
 
Na hiyo lugha c kwaajili ya Mombasa tu ina muingiliano mkubwa na watu wa Tanga na Zanzibar ndio bahati yao Kwanza Ile TANZANIA kabisa ilifaa tuirudishe mikononi mwetu
 
Ndege zimeshindwaje wakati zimepigwa marufuku kutua huko kenya? Au mm ndo sikuelewi? Ila kifupi rais wenu akili hana kabisa.
 

What an advice!!πŸ€ΈπŸ»β€β™‚οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™‚οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™‚οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™‚οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™‚οΈ
Una akili kama nyuki yani bravo [emoji1319]
 
Poleni sana kwa maumivu bt inabidi mzoee maana mliyataka wenyewe, kwa sasa hatuna huruma na nyang'au maana tushaujua upumbavu wenu, dawa yenu ni kuwapga spana daily.
 
Nilifikiri ATCL πŸ˜‚ itachukua hiyo nafasi kumbe ni kanchi kadogo ka Rwanda kataibuka mshindi! Tz ni Nchi kubwa bure kabisa.
Ww nawe ni zwazwa sasa ATCL ndio kwanza haija anza kuruka kwenda europe ruti zao ni Asia
 
Ww nawe ni zwazwa sasa ATCL ndio kwanza haija anza kuruka kwenda europe ruti zao ni Asia
Dreamliner moja ndio itaenda Europe na Asia?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Afu msisahau kutua South Africa beberu hataikamata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…