Watanzania sasa tuulizane; Rais bado anasafiri duniani kutafuta misaada?

Hiyo open government inahusiana vipi na BOT monthly economic review?

Nitumie data za local zipi? Kutoka kwenye page zipi? Uniambie wewe sasa, je hizo utaziamini? Kwa nini hizo uziamini?

Magu alicrash korosho ilikuaje uzalishaji ukapanda?Data za zamani za BOT unasema unaziamini, hizo data zinaonyesha korosho ilishuka sana mwaka 2007 kufikia ev ya $28b, je Jk alicrash korosho? Naomba kujua
 
Kikwete ana ukuaji mkubwa Uchumi kuelezea hivyo, nimeshakupa Data za Deni vs Gdp ratio, kama ulichotengeneza ni zaidi ya mara 2 ulichokopa ina justify hilo, hata ukiangalia hilo deni la Taifa as a percentage of Economy utaona lilishuka wakati wa kikwete

Mwaka 2005 Debt to Gdp ratio ilikua 46% N mpaka 2015 Debt to Gdp ratio ilikua 39% japo kumekopwa 11B usd, ina maana ukuaji uchumi unakua kwa kasi kuliko Ukopaji, Ila from there Debt to Gdp ratio inaendelea tu kupanda ina maana ongezeko la Uchumi haliakisi kinachokopwa, mtu anakopa Akajenge Chato unafkiri utaona matokeo kwenye Gdp?
 
Bosi data ni za Kupikwa even huo uzalishaji hauna uhakika kama upo sahihi.

Data zinapatikana kwenye minada, kila mnada wa korosho unakua ni public waandishi wanakuwepo, Google mwaka husika na mnada wake utapata data, nimekupa mfano 2019/20 mwaka ambao bei ya Korosho ilicrash kuja 1500-2300, mwaka jana ilikua 4000, mwaka 2013 ilikua 3800 etc google mwaka unaotaka mwenyewe fanya Comparison.

Data zikiwa wazi kila mtu anaweza kuhoji, hivyo kukiwa hakuna data zilizowazi viongozi inakua rahisi kupika data, ila data zikiwa wazi fasta tu utasikia watu wanahoji incase kuna tatizo.
 
3. Gdp sasa haikui sababu ya Magu, bali inakua kwa kureverse alivyofanya nakupa mifano michache.

-



Kuna mambo mengi yamechangia Gdp kuongezeka, ila definitely Miradi ya Magu si kigezo, bali yeye ndio katuchelewesha sana tu.
Hivi nyie machawa wa bibi tozo kuna muda huwa mnapigwa vidole mpaka mnachanganyikiwa au?

Mbona wengi wenu huwa ni wapumbavu hiviii? Yaani mmejawa na chuki kwa marehemu mpaka mnakera wasengge nyie.

Nimeamua kukunukuu hivi vipande viwili hili ujione ulivyomjinga kwa kujicontradict mwenyewe mpuuzi wewe..!!

Eti GDP kwa sasa haikui, halafu hapo hapo mwishoni unakusema inakua, lakini kwa factors nyingine na sio miradi ya Magu serious?

Kwamba hata shirika la ndege la taifa aliyelifufua ni mama ako huyu sio??? Kwamba miundo mbinu hiyo iliyoboreshwa awamu ya tano haina mchango wowote kwenye huu uchumi uliokuzwa na mama ako na badala yake mama ako samia anatumia miujiza kuukuza uchumi si ndio maanake??

Nyie machawa wa bi tozo akili zenu ziko matakoni na kwenye matumboni yenu wapumbavu nyie.... na sijui kwanin hakunaga mwenye akili kati yenu.
 
Hapo hapo, mkapa alikuta gdp ikiwa $7b, akaipeleka mpaka $18b hii ni zaidi ya Mara mbili mbona yeye hakukopa sana Kama JK ikiwa issue ni kuipeleka gdp mara mbili?
 
Kawaida nikishaonaga tu mtu yoyote anam glorify Kikwete na Samia halafu hapo hapo jina lake linaashiria kuwa ni mvaa kobazi najua hakuna kitu kichwani hapa zaidi ya ujinga, kutegemea data za kutunga na kutetea serikali dhaifu.
 
Umejua kumshika uongo huyu chawa wa chura kiziwi, na anandika kwa confidence kweli bila aibu.
 
Ni nani anahusika na kukusanya data zote za jumla? Hiyo kinada ipo sehemu tofauti lazima iwepo taasisi ya kukusanya hizo data na kuziweka pamoja.

Huamini BOT kuhusu data za uzalishaji loroshp sababu zimeenda tofauti na ulivyotegemea, lakini mwanzo ulizitulia kuhalalisha ulichotaka kuongopa. Unafanya watu wajinga

Kuna swali hujanijibu, unasema data za BOT wakati wa JK zipo sahihi, kwa mujibu wa hizo data korosho iliporomoka na kuanguka kabisa 2007?? Jk kwa nn aliifikisha huko korosho?
 
Umejua kumshika uongo huyu chawa wa chura kiziwi, na anandika kwa confidence kweli bila aibu.
Ana utoto, yeye ndio alianza kuleta taarifa za BOT, Sasa hivi baada ya kukuonyesha zipo tofauti na alivyokua anatamani anaanza kusema haziamini. Anaamini za wakati wa JK,nakuuliza hizo hizo za wakati wa JKwaka 2007 mbona korosho ikiporomoka na kuanguka kabisa ,Hana jibu
 
Kawaida nikishaonaga tu mtu yoyote anam glorify Kikwete na Samia halafu hapo hapo jina lake linaashiria kuwa ni mvaa kobazi najua hakuna kitu kichwani hapa zaidi ya ujinga, kutegemea data za kutunga na kutetea serikali dhaifu.
Anaweka imani mbele, Kuna sehemu nimeona nimeshangaa anaangalia Imani badala ya ukweli au uongo. Hili ni tatizo kwake litamsumbua maana katika Hali ya kawaida watu wa Imani tofauti nchi yetu wapo wengi utakua unakesha unawachukia na kujiumiza tu
 
Unaongelea Epocha, baadae Vietel kwa sasa Halotel.
 
Context ni kwamba Kikwete kakaa miaka 10 ukijumlisha mi 5 tu ya Samia ama Mita I tu ya Magufuli utakua unamuonea, ni Either ugawanye Deni na GDP ama deni na miaka waliyokaa upate Figure nzuri kimahesabu.
Sasa kuliko kutaka wote twende na hizi assumptive calculations ni heri ungelinganisha miaka yao minne minne ya kila mmoja, kwa hicho hicho kigezo chako cha National debt to Gdp ration, ambapo Samia ataibuka kuwa na matokeo ratio mbaya kuliko wote.
 
Haloo kwa jinsi ulivyomshika huyu jamaa atashindwa kunywa hata bia kwa hela za rushwa wanazopata huko kwenye system.

Kama haiamini BOT basi apingane mpaka na data zilizokuwa published na FAO tasisi ya mabeberu ambayo ndio wanaiamini sana
 
Haloo kwa jinsi ulivyomshika huyu jamaa atashindwa kunywa hata bia kwa hela za rushwa wanazopata huko kwenye system.

Kama haiamini BOT basi apingane mpaka na data zilizokuwa published na FAO tasisi ya mabeberu ambayo ndio wanaiamini sana
Huyu nimejadili nae mara kadhaa, anapenda kuweka uongo ili kumdogosha yoyote ambae hampendi. Namuelezaga hayo yote hayamsaidii chochote

Hapa anahangaika kuonyesha magufuli hakufaa kabisa, anashindwa kuelewa magufuli yapo mengi alikosea Wala huitaji kuongopa ili watu waelewe. Pia JK yapo mengi sana alikosea wala haihitaji apake polish kuficha hayo, hata Samia yapo mengi anakosea wala haitaji kuongopea yoyote.
 
Yaani mtu anakwambia BOT kipindi cha Kikwete walikuwa wanatoa data za kweli, ila kipindi cha Magu walikuwa wanapika data, halafu sasa hivi kipindi cha Samia wanatoa data za kweli...

Sasa huyo si mwehu kabisa na mpuuzi wa mwisho.. yaani chuki za kitoto na uislamu mwingi ndio vimemjaa kichwani hadi amekuwa kama tahira.
 
Yeye anaamini magu alikosea sana, anaamini JK alikua perfect na anaamini Samia ni perfect hakuna anapokosea.

Nchi zetu hizi zenye umaskini na mifumo mibovu hakuna raisi hafanyi makosa makubwa iwe jkwa kudhamiria au kwa bahati mbaya. Maraisi hufanya makosa makubwa sana wakiwa madarakani na baadae huyajutia
 
Tupe ushahidi bwana magurue usilete mboyoyo hapa
Ushahidi ni mwingi sana
-Katafuta soko.la.nyama Saudia
-Katafuta soko.la Kilimo China
-Kafungia soko la Kilimo India
-Kaleta ujenzi wa studio ya Kisasa ya movie Zanzibar kutoka Hollywood
-Kaleta kiwanda Cha Mbolea Mtwara na Dodoma

Kiufupi hakuna ziara ambayo Samia amefanya Kwa hasara.

By the way afanye ziara isiwe na faida Ili kitokee nini?

View: https://www.instagram.com/p/DF7EKaTqSKB/?igsh=MXdtcjlhOGF4bDY1OA==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…