Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hawatachagua chama ambacho wafuasi, viongozi na wanachama wake sio wazalendo

Alifafanua vizuri ukampata. Nini matumizi mazuri ya dola kwa maslahi ya taifa. Utamaduni wa Chadema kumuachia mwenyekiti chama hata kama amefeli!
Chama kutumia dola ili kubaki madarakani ni unajisi na uharamu tu.Yaani kwa wanao jielewa ni kua Chama kitafanya iwezekenavyo ili vyama ambavyo navyo vinataka kuongoza nchi visifikie ayo mafanikio.
MISUSE OF STATE APPARATUS FOR PARTY INTEREST (STATE CAPTURE)
Bashiru anaweza kuongea tu kwa kuongeza maslahi ya nchi kwa ushabiki ,uongo na unafiki ila waelewa tunajua mkuu.
Si kweli kua mara zote chama kitatumia dola kwa maslahi ya nchi...
Leo nimefikisha mafias 3 naendelea
 
Acha ubishi kama ubishi wa kwenye kahawa. Chama dola kinapotumia polisi kulinda raia na mali zao sio matumizi sahihi ya chombo cha dola? Maaana ujambazi na uhalifu ukidhibitiwa wananchi wanakuwa salama na imani kwa chama tawala inakuwa kubwa.
Chama dola kikitumia Pccb kuzuia ubadhirifu na ufisadi. Na mapato ya taifa yakatumika vuzuri kama ilivyo sasa. Utaweza kukitoa madarakani kwa kura? Wananchi wanakikubali? Hio ni mifano tu.
 
Ni kweli watz hawezi chagua chama kilichojaa majizi Kama ccm
 
Kwahiyo maana yake polisi au PCCB wanakua awajui wajibu wao..aah ili ni tu.
Vipi chama kukitumia dola kubaki madarakani, kufanya ufisadi,kuwapoteza wapinzani wake,nk?
STATE CAPTURE
 
Kwahiyo maana yake polisi au PCCB wanakua awajui wajibu wao..aah ili ni tu.
Vipi chama kukitumia dola kubaki madarakani, kufanya ufisadi,kuwapoteza wapinzani wake,nk?
STATE CAPTURE
State capture hiyo dhana unaijua? Hujui nini maana ya Chama dola mpaka uulize Polisi na Pccb hawajui wajibu wao? Hii aibu kwa ufipa jazz band
 
Utoto unakusumbua nani kasema haya
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kama ni hivyo Serikali ya CCM inaitisha Uchaguzi wa nini?
Harafu usiwasemee Watanzania wote kama kwamba wanakipenda Chama chako.
Vinginevyo mnatoa vitisho Wapinzani wasigombee ili mchujkue ushindi wa mezani.
 
Mwambie mwenyekiti aongeze mishahara watumishi wa umma..
Au hazitaki kura za watumishi?

#YNWA
 
Mwambie mwenyekiti aongeze mishahara watumishi wa umma..
Au hazitaki kura za watumishi?

#YNWA
Watu wanataka nyongeza ya mshahara au nyongeza ya kima cha chini naomba msaada? Sisi wakulima hayatuhusu hayo.
 
Watu wanataka nyongeza ya mshahara au nyongeza ya kima cha chini naomba msaada? Sisi wakulima hayatuhusu hayo.
Mshahara...
Nyongeza ya kila mwaka (annual increment) ipo kisheria na ni kila mwaka.

Sasa kwanini mwenyekiti kaamua kukanyaga sheria hivi?
Kwani yeye ndio mwamuzi wa nini afanye na nini asifanye kwenye sheria?

Kama hamna annual increment sasa Tucta na vyama vyenu mnawachangia nini? Hao si ndio wanapaswa wawatetee kuliko kulialia Jf kama mnaharisha uharo.
 
State capture hiyo dhana unaijua? Hujui nini maana ya Chama dola mpaka uulize Polisi na Pccb hawajui wajibu wao? Hii aibu kwa ufipa jazz band
Vumilia tu kujua kitu kipya sio tatizo...STATE CAPTURE NI HATARI SANA.. Hizi mbinu zimetoka kwa Nazi na Fascism kabisa.
 
Vumilia tu kujua kitu kipya sio tatizo...STATE CAPTURE NI HATARI SANA.. Hizi mbinu zimetoka kwa Nazi na Fascism kabisa.
Nilitegemea mtu uliekula sup 8 za political science ujue nini chama dola. Na kwa nini Cham dola kin mamlaka juu ya vyombo vya dola.
Pili state capture ni suala dogo sana ndio maana hapa Tanzania huwezi sikia mtu kama Harbinder Seth na wenzake wanaiweka mikononi dola.
 
Ni nzuri kwa yule anae nufaika nayo sio kwa manufaa ya wote. Dola unashindwa kutenda haki kwakua ipo mifukoni mwa chama flani...kumbuka hicho chama cha Siasa kina watu wanao kiongoza. Hizi zote ni style za NAZI NA FASCISM
 
UZALENDO WENU NI MTU KUWA KAMA ZEZETA ,kusapoti kila kitu mpaka Kutumbua DAS kwa sababu ya Kamchepuko ka kisarawe tusisifie tuuuuuuuuu daaah.
Tatizo sio hivo mnatakiwa kuyapongeza mazuri ambayo serikali ilifanya na kutoa ushauri kwa mapungufu ya serikali. Sio kutukana tu na kupinga kuwa serikali haijafanya kitu.
 
Ni nzuri kwa yule anae nufaika nayo sio kwa manufaa ya wote. Dola unashindwa kutenda haki kwakua ipo mifukoni mwa chama flani...kumbuka hicho chama cha Siasa kina watu wanao kiongoza. Hizi zote ni style za NAZI NA FASCISM
Ngoja nicheke tu.
 
Tangy lini Meko kawa mzalendo. Hivi mbinafsi kama huyu akawa mzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…