Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Mtanzania halisi atachaguliwaHakuna mtanzania atachagua watu wasiolitakia mema taifa lao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanzania halisi atachaguliwaHakuna mtanzania atachagua watu wasiolitakia mema taifa lao.
Kwani ishu ipo wapi? Muda wowote ni mahakamani.B 8 then msipeleke takukuru,
Mnatangatanga kama kuku anayeweweseka.Mtanzania halisi atachaguliwa
Tatizo ccm vichwa vyao vimejaa povuUzalendo Ni kutumia polisi kukandamiza wapinzani wako wa kisiasa? Kule Morogoro mkuu wa mkoa anamnyanyasa mgombea Wa CHADEMA Kilombero kisa kaonyesha nia. Je huo ndio uzalendo?
Hakuna kusomeshwa namba tena ili tumuabudu mtu Safari hii,sisi sio Mali binafsi ya wakujaMnatangatanga kama kuku anayeweweseka.
Hatuwezi tawaliwa na wakuja asiyejua shida zetuMnatangatanga kama kuku anayeweweseka.
Kashushie konyagi.Hakuna kusomeshwa namba tena ili tumuabudu mtu Safari hii,sisi sio Mali binafsi ya wakuja
Aaah wapiKwani ishu ipo wapi? Muda wowote ni mahakamani.
Hatusomeswi namba tena tunachagua mtanzania mwenzetu Safari hiiTena wampigie kura mgombea aliyeishi Ulaya kwa zaidi ya mwaka, hawatafanya hivyo.
Hakuna mtanzania atachagua watu wasiolitakia mema taifa lao.
Uzalendo ni itikadi ya kuweka maslahi ya taifa lako mbele ili liweze kufanikiwa kwa kila namna. Lakini inatia aibu sana CHADEMA na wanachama wake pamoja na wafuasi wake hawana uzalendo kabisa na hawalitakii mema taifa letu.
Kwa mwananchi mzalendo ambae unalitakia mema taifa lako huwezi kubeza mambo ambayo CCM imelifanyia taifa hili tangu tunapata uhuru mpaka sasa. Serikali ya CCM inaimarisha sekta ya afya kwa kujenga vituo vya afya na hospital, mnasema eti ni maendeleo ya vitu. Kwani hawatakuja kutibiwa watu?
Serikali ya CCM inajenga mradi wa JNHPP ili taifa lipate umeme mwingi na wa uhakika. Mnasema eti ni Mega structures na hazina manufaa kwa watu. Kwani huo umeme nyie wanaChadema hamtautumia? Tena kwa bei rahisi! Mradi wa Sgr mnasema ni maendeleo ya vitu sio watu. Kwa hiyo hiyo treni hamtaipanda? Hamtasafirishia mizigo yenu?
Kwa ujumla watanzania wameshawajua ninyi ni wapiga dili na chama chenu kipo kimaslahi binafsi. Sio kuwaletea watanzania maendeleo kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Natoa ushauri tu Oktoba msijaribu kugombea nafasi yoyote maana watanzania hawawataki tena.
Siasa sio chuki na uadui.
Siasa si matangazo.Kwa hiyo Mbowe alipokuwa anaitangazia dunia kupitia Aljazeera kuwa watu 40 wanakufa na kuzikwa usiku alikuwa hafanyi siasa?
Wewe ni mpuuzi.Siasa si matangazo.
Apo umeongea comrade,natamani tutumie njia ya NAZI dhidi ya NDP au FASCISM ...kukubali nchi kua chini ya watu wa Demokrasia, Haki ,Uhuru na Utawala wa Sheria ni kurudi nyuma kimaendeleo.Acha kupotosha watu. Tunaijua historia ya nchi yetu. Chadema subirini kugawana meza na viti.
Usifananishe Ccm na Nazi social party. Ccm ni chama kinachofuata misingi ya demokrasia. Na umeshudia siku mbili zilizopita Dodoma. Ungekuwa na aibu ungejionea huruma maana haiwezekani chama kiwe na mwenyekiti mmoja kwa zaidi ya miaka 20.Kisa tu chama ni cha baba yake,alafu wewe nae ni kamanda wa chama kama hicho.Apo umeongea comrade,natamani tutumie njia ya NAZI dhidi ya NDP au FASCISM ...kukubali nchi kua chini ya watu wa Demokrasia, Haki ,Uhuru na Utawala wa Sheria ni kurudi nyuma kimaendeleo.
Nazi na Fascism walitumia jeshi,polisi na Gestapo kubaki madarakani na kuimarisha mamlaka zao...hivyo huku CCM tunatumia dola,polisi,jeshi kubaki madarakani ...tusipingane na Dr.Bashiru maana alituma elimu hii ya bure.Pia hao sijui Mbowe na wenzie inawezekana ndiyo makubaliano yao.Mwenyekiti wetu amepata 100% ila sijui mpinzani wake amepata ngapi?Usifananishe Ccm na Nazi social party. Ccm ni chama kinachofuata misingi ya demokrasia. Na umeshudia siku mbili zilizopita Dodoma. Ungekuwa na aibu ungejionea huruma maana haiwezekani chama kiwe na mwenyekiti mmoja kwa zaidi ya miaka 20.Kisa tu chama ni cha baba yake,alafu wewe nae ni kamanda wa chama kama hicho.
Mpinzani gani unaemzungumzia ? Ccm wana desturi ya kumuachia aliyefanya vizuri amalize ngwe yake.Nazi na Fascism walitumia jeshi,polisi na Gestapo kubaki madarakani na kuimarisha mamlaka zao...hivyo huku CCM tunatumia dola,polisi,jeshi kubaki madarakani ...tusipingane na Dr.Bashiru maana alituma elimu hii ya bure.Pia hao sijui Mbowe na wenzie inawezekana ndiyo makubaliano yao.Mwenyekiti wetu amepata 100% ila sijui mpinzani wake amepata ngapi?
Duuh kumbe ni utamaduni wetu basi na hao CHADEMA wana utamaduni wao.Mpinzani gani unaemzungumzia ? Ccm wana desturi ya kumuachia aliyefanya vizuri amalize ngwe yake.
Kuhusu kutumia dola,polisi na jeshi sio kweli. Hamna mwananchi anayeshikiwa bunduki kuchagua Ccm.
Alifafanua vizuri ukampata. Nini matumizi mazuri ya dola kwa maslahi ya taifa. Utamaduni wa Chadema kumuachia mwenyekiti chama hata kama amefeli!Duuh kumbe ni utamaduni wetu basi na hao CHADEMA wana utamaduni wao.
Kwahiyo Katibu Bashiru alikua na maana gani kusema kua lazma CCM itumie dola tubaki madarakani?