Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

Waliowengi nao ni vilaza pia, kijana amemaliza chuo kikuu ukimwambia simama hapo ujieleze kwa dk 15, anaona ni mwaka na anavyovieleza havieleweki.
Mkuu hakuna aliyezaliwa anajua yote. Unaeza kuta kijana yupo vizuri ila wenge la ujobless ndio maana vitu havieleweki na miaka inaenda unakuta umri umefika 34+ ila bado maisha hayana ramani hivyo lazima mtu awe na wenge. Wengine wamefika stage ya kutamani kujiua au wengine washajiua.
 
Heri ya mwaka mpya 2023.

Moja kwa moja kwenye mada

Mwaka jana 2022, kama majobless wengine niliendelea kuhudhuria interview mbalimbali za utumishi na sehemu nyingine nyingi sana. Kitu nilichoona naona majobless wanaongezeka sana sio kama zamani nilivyokuwa nikiwaona. Yaani naona makutano na mafuriko ya watu wakiendelea kuomba kazi. Wengine ni wadogo zangu kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ napiga nao pepa. Sasa kuna kitu nimekiona nimeona nitoe wazo. Kwenye interview huwa nakutana na masela zangu wa zamani na wenyewe wapo kwenye mpambano wa kutafuta kazi. Wengine ni wachovu kama mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ila nashangaa nakutana pia na wengine ambao kwao mambo safi na wenyewe wapo kwenye interview. Huwa nawauliza. Hivi ninyi kwenu si wakusuport uanzishe kitu? Unajua kimasiharamasihara unaeza kufika miaka 50 bado unatafuta kazi au unajitolea?

Unakuta mwingine kwao mzazi anamuweka ndani tu. Ila nje kuna magari makali, harrier, vanguard, prado e.t.c unakuta mzee wake anacheo kwenye serikali au sekta binafsi pia anazonyumba kadhaa za wapangaji ila dogo yupo ndani hawamsuport. Wanampahela ya kwenda kwenye interview tu na miaka inaenda. Au anajitolea kwerikweri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Wengine unakuta wazee wake wapo vizuri ila wana misimamo ya kizee kwamba ajira ndio kila kitu. Kila siku wanamuuliza dogo, mbona hautafuti ajira? Hao wazee huwa ni wakishamba sana wanadhani miaka hii ajira inapatikana kirahisi kama enzi zao, ukimaliza form four tayari una ajira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Pia kuna wengine wazee wao wanataka dogo asome zaidi ili apate kazi, unakuta mzee anamlazimisha dogo asome masters na PhD eti ndio itamsaida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa niaba ya majobless wengine naomba kuwaambia wazee wote wenye itakadi hizo. Ajira sio rahisi kama enzi zenu za miaka ya 60,70,80,90. Siku hizi watu ni mafuriko. Masters ni nyingi sana na ajira ni ngumu kwerikweri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Suluhisho ni sisi waTanzania tuanzishe utaratibu mpya wa kumaliza tatizo la ajira kwa ngazi ya familia.
Utaratibu ni kuchanga hela angalau mtoto apate mtaji au afanye partneship aanzishe mradi anaoona unafaa. Kama mnachanga mamilioni kwa ajili ya harusi, sendoff, kitchen party kwanini usimsaidie mwanao? Kama unahela za kujenga majumba ya wapangaji kwa mamilioni halafu unaambulia vilaki 3 kwa mwezi kwanini usimsaidie mwanao? Kama unahela za kununua magari, kluger, harrier, vanguard, kwanini usimsaidie mwanao?
Kama upo tayari kumsomesha mwanao masters na PhD kwa mamilioni halafu akose ajira, kwanini usimsaidie mwanao mtaji?

Muda umefika ninyi wenye angalau uwezo msaidie watoto wenu angalau mtoto apate mtaji wa kujiajiri au pawe na ushirikiano wa kifamilia kusaidia watoto majobless. Msipofanya hivyo mtashtukia mtoto anafikisha miaka 50 hana ajira wala chanzo chochote cha mapato πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wala bila familia. Natoa siri hii ila usimwambie mtu "VIJANA WENGI WA KIUME HAWAOI SIKUHIZI, KWASABABU HAWANA AJIRA WALA VYANZO VYA MAPATO VYA KUELEWEKA" na "MTOTO HALI CHETI"

Naomba viongozi wa dini msaidie kufikisha ujumbe huu, misikitini na makanisani. Suluhisho la ukosefu wa ajira sio maombezi pekee. Masheikh, Maustadh, Mapadri, Maaskofu, Mitume, Manabii, Wachungaji na watumishi wa Mungu naomba mfikishe ujumbe na Mungu atawabariki.

NB:
1. Huu ujumbe uko dedicated kwa wazee ambao pesa wanayo ila hawana connection ya kuwasaidia watoto majobless. Sisi tunaotokea maisha ya kuungaunga tunakutana ajiraportal πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

2. Mtoto atakayepewa mtaji lazima afanyiwe due diligence mapema mwenendo wa tabia yake asije akahonga hela yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

3. Utafiti wa kina wa gharama na makadirio halisi wa mradi lazima ufanyike kwa kina bila papara.

Wengine mtaboresha zaidi.

Samahani kama kuna mtu atakwazika kwa maoni yangu.

Nawatakia mwaka 2023 wenye mafanikio.

Forward huu ujumbe kwa wazazi wote mnaowajua. Au hata kwenye magroup yoyote. Ujumbe ufike. Hasahasa mzazi mweye mtoto jobless au anayejitolea.
Ila tukumbuke sio kila mtu anaweza kufanya biashara. Biashara ni wito
 
Ni kweli mkuu. Ila kwa wale wanaoona wanaweza kufanya, wangefanya ama kufungua biashara au kampuni. Unajua wakifanya hivyo watu wengi zinaweza kuibuka kampuni kubwa zenye uwezo zikakua na kukua, mpaka zikaajiri watu wengi zaidi hata wewe na mimi?
 
Kabisa mkuu.ni wenge mtu kakaa mtaa miaka 3,5 unazan ataweza jieleza bd stress acha tu.Me nilipitia icho kipind saiv namshukuru God nimejishkza sehem nilichojifunza kaz ya mtu ndo status yake.
 
Ujobless usikie tu ni kipindi kigumu sana hasa ukiwa umetoka familia zetu za kaza twende.unaweza jiondoa kwenye ii dunia.ata kujiamn mbele ya piss ni shida aisee Mungu awasaidie jobless wote 2023 mpate capital/kazi.
 
Kuna mda unafika mpaka mademu wanajiuza unaona wako sawaπŸ˜ƒ
 
Hebu nichangie mtazamo wangu kwenye hili.

Mtaji wa kwanza ni nguvu zako mwenyewe. Kama vijana ni lazima ujitume katika kazi mbalimbali na uonyeshe uwezo wa kujisimamia kabla ya kupokea huo mtaji. Haijalishi ni kazi ya namna gani ila ni lazima uweke aibu kando na kuifanya.

Kwa mfano mm binafsi nakumbuka nimeshauza barafu nikiwa graduate. Nilipopanga palikuwa na wapangaji wengine, nikanunua vitu vingine kama sabuni, pipi,soda na vingine nikaanza kuuzia wapangaji kidogo kidogo. Baada ya muda Mungu akanibariki nikapata frame nikalipia nikaanza rasmi.

Kwa kweli hata sikupata support ya nyumbani na hii imenisaidia kuheshimu wateja na biashara pia.

Niwashauri vijana wenzangu, maisha siyo rahisi kama mnavyofikiria. Mkilalamika kuwa hampewi mitaji mnajichelewesha wenyewe kwenye kutimiza ndoto zako. Kwanza jiulize huyo unaetaka akupe mtaji yeye alipewa na nani mtaji wake??? Hapo ulipo tumia kila ulichonacho bila kujali kuwa nyumbani kuna Prado wala Harrier, toka angalia hata fursa ya ya kupata hela ndogo tu kwa Siku ila amini Mungu kuwa baada ya muda utafika mbali.

Mtaji upo mikononi na akilini mwako. Weka aibu pembeni ingia fanya chochote. Tizama hata vitu mnavyotumia hapo nyumbani kwa wingi uangalie pia upatikanaji wake na pia kwa namna unavyoweza kuwasaidia wengine kuvipata. Ukifanya hivi utajulikana na tayari utakuwa umeingia kwenye kutengeneza kipato.
Mtoa mada kawalenga zaidi wazee ambao wana uwezo wa kusaidia watoto wao alafu wamekausha hajasema kwamba vijana wabweteke tu kusubiria kupigwa tafu hata kama home hakuna uwezo. Alafu ambao mmesogea kimaisha kidogo achaneni na mtazamo kwamba kama wewe umepititia shida fulani basi ni halali na wengine pia wapitie shida pia, kupitia msoto sio mashindano. sio mbaya ukatengeneza njia ili wanaokufata wasikutane na magumu uliyopitia
 
Ujobless usikie tu ni kipindi kigumu sana hasa ukiwa umetoka familia zetu za kaza twende.unaweza jiondoa kwenye ii dunia.ata kujiamn mbele ya piss ni shida aisee Mungu awasaidie jobless wote 2023 mpate capital/kazi.
Ujobless sio kitu cha mchezomchezo. Mwaka jana mabroo wawili wamejiua. Ila kwenye msiba wamedanganya kuwa waliumwa ghafla mwingine walisema pombe. Ila ukweli ni kwamba ni stress za ujobless wakaona wajiue. Hili jambo lipo ila watu wanafichaficha.
 
Hao wa majumbani wengi wamekula mitaji wazee wakakasirika.
Wengine hawana exposure ya kufanya biashara ndugu yangu, biashara mpaka isimame uanze kuona faida sio mchezo unaweza ukaanguka mara kibao au ukabadilisha biashara mbili, tatu ya nne ndo ukaiotea
 
Ujobless sio kitu cha mchezomchezo. Mwaka jana mabroo wawili wamejiua. Ila kwenye msiba wamedanganya kuwa waliumwa ghafla mwingine walisema pombe. Ila ukweli ni kwamba ni stress za ujobless wakaona wajiue. Hili jambo lipo ila watu wanafichaficha.
Acha mkuu.Cyo powa walijinyonga?
 
Na uzazi wa mpango pia uwakumbushe maana ukosefu wa ajira ndio zile mimba ambazo hazikuwa kwenye ratiba, mzazi anamleta mtoto duniani wakati yeye hana future, uutawezaje tengeneza future ya mtu (mtoto wako) wakati yakwako imekushinda?
Heri ya mwaka mpya 2023.

Moja kwa moja kwenye mada

Mwaka jana 2022, kama majobless wengine niliendelea kuhudhuria interview mbalimbali za utumishi na sehemu nyingine nyingi sana. Kitu nilichoona naona majobless wanaongezeka sana sio kama zamani nilivyokuwa nikiwaona. Yaani naona makutano na mafuriko ya watu wakiendelea kuomba kazi. Wengine ni wadogo zangu kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ napiga nao pepa. Sasa kuna kitu nimekiona nimeona nitoe wazo. Kwenye interview huwa nakutana na masela zangu wa zamani na wenyewe wapo kwenye mpambano wa kutafuta kazi. Wengine ni wachovu kama mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ila nashangaa nakutana pia na wengine ambao kwao mambo safi na wenyewe wapo kwenye interview. Huwa nawauliza. Hivi ninyi kwenu si wakusuport uanzishe kitu? Unajua kimasiharamasihara unaeza kufika miaka 50 bado unatafuta kazi au unajitolea?

Unakuta mwingine kwao mzazi anamuweka ndani tu. Ila nje kuna magari makali, harrier, vanguard, prado e.t.c unakuta mzee wake anacheo kwenye serikali au sekta binafsi pia anazonyumba kadhaa za wapangaji ila dogo yupo ndani hawamsuport. Wanampahela ya kwenda kwenye interview tu na miaka inaenda. Au anajitolea kwerikweri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Wengine unakuta wazee wake wapo vizuri ila wana misimamo ya kizee kwamba ajira ndio kila kitu. Kila siku wanamuuliza dogo, mbona hautafuti ajira? Hao wazee huwa ni wakishamba sana wanadhani miaka hii ajira inapatikana kirahisi kama enzi zao, ukimaliza form four tayari una ajira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Pia kuna wengine wazee wao wanataka dogo asome zaidi ili apate kazi, unakuta mzee anamlazimisha dogo asome masters na PhD eti ndio itamsaida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa niaba ya majobless wengine naomba kuwaambia wazee wote wenye itakadi hizo. Ajira sio rahisi kama enzi zenu za miaka ya 60,70,80,90. Siku hizi watu ni mafuriko. Masters ni nyingi sana na ajira ni ngumu kwerikweri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Suluhisho ni sisi waTanzania tuanzishe utaratibu mpya wa kumaliza tatizo la ajira kwa ngazi ya familia.
Utaratibu ni kuchanga hela angalau mtoto apate mtaji au afanye partneship aanzishe mradi anaoona unafaa. Kama mnachanga mamilioni kwa ajili ya harusi, sendoff, kitchen party kwanini usimsaidie mwanao? Kama unahela za kujenga majumba ya wapangaji kwa mamilioni halafu unaambulia vilaki 3 kwa mwezi kwanini usimsaidie mwanao? Kama unahela za kununua magari, kluger, harrier, vanguard, kwanini usimsaidie mwanao?
Kama upo tayari kumsomesha mwanao masters na PhD kwa mamilioni halafu akose ajira, kwanini usimsaidie mwanao mtaji?

Muda umefika ninyi wenye angalau uwezo msaidie watoto wenu angalau mtoto apate mtaji wa kujiajiri au pawe na ushirikiano wa kifamilia kusaidia watoto majobless. Msipofanya hivyo mtashtukia mtoto anafikisha miaka 50 hana ajira wala chanzo chochote cha mapato πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wala bila familia. Natoa siri hii ila usimwambie mtu "VIJANA WENGI WA KIUME HAWAOI SIKUHIZI, KWASABABU HAWANA AJIRA WALA VYANZO VYA MAPATO VYA KUELEWEKA" na "MTOTO HALI CHETI"

Naomba viongozi wa dini msaidie kufikisha ujumbe huu, misikitini na makanisani. Suluhisho la ukosefu wa ajira sio maombezi pekee. Masheikh, Maustadh, Mapadri, Maaskofu, Mitume, Manabii, Wachungaji na watumishi wa Mungu naomba mfikishe ujumbe na Mungu atawabariki.

NB:
1. Huu ujumbe uko dedicated kwa wazee ambao pesa wanayo ila hawana connection ya kuwasaidia watoto majobless. Sisi tunaotokea maisha ya kuungaunga tunakutana ajiraportal πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

2. Mtoto atakayepewa mtaji lazima afanyiwe due diligence mapema mwenendo wa tabia yake asije akahonga hela yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

3. Utafiti wa kina wa gharama na makadirio halisi wa mradi lazima ufanyike kwa kina bila papara.

Wengine mtaboresha zaidi.

Samahani kama kuna mtu atakwazika kwa maoni yangu.

Nawatakia mwaka 2023 wenye mafanikio.

Forward huu ujumbe kwa wazazi wote mnaowajua. Au hata kwenye magroup yoyote. Ujumbe ufike. Hasahasa mzazi mweye mtoto jobless au anayejitolea.
 
Wengine hawana exposure ya kufanya biashara ndugu yangu, biashara mpaka isimame uanze kuona faida sio mchezo unaweza ukaanguka mara kibao au ukabadilisha biashara mbili, tatu ya nne ndo ukaiotea
Kabsa mkuu maan ww n mgen wa biashara lazm ufail ndo uje kuielewa.
 
Na uzazi wa mpango pia uwakumbushe maana ukosefu wa ajira ndio zile mimba ambazo hazikuwa kwenye ratiba, mzazi anamleta mtoto duniani wakati yeye hana future, uutawezaje tengeneza future ya mtu (mtoto wako) wakati yakwako imekushinda?
Ni kweli mkuu.ila aya mamb unabd uwe makin mtoto ni hela aisee.
 
Waliowengi nao ni vilaza pia, kijana amemaliza chuo kikuu ukimwambia simama hapo ujieleze kwa dk 15, anaona ni mwaka na anavyovieleza havieleweki.
Unamwambia ajielezee nini? Katika mazingira gani? Na baada ya kujielezea unampa reward gani?
 
Wabongo hatuna financial literacy. Tunapenda kuishi kwa kubangaiza na kuteseka, hata kazi unakuta mtu anaiita mihangaiko bora hata niggers wanasema hustling ila wangekuwa Bongo labda wangeita suffering. Hela iliyopatikana kwa shida inaonekana ya maana sana
 
Ujobless sio kitu cha mchezomchezo. Mwaka jana mabroo wawili wamejiua. Ila kwenye msiba wamedanganya kuwa waliumwa ghafla mwingine walisema pombe. Ila ukweli ni kwamba ni stress za ujobless wakaona wajiue. Hili jambo lipo ila watu wanafichaficha.
Shida ukikaa ukajiuliza misuli yote ile nimefaulu level zote afu maisha yangu magumu zaid hta ya waliofail + dharau home dah aisee Usipokuwa na God unajipeleka pepon.
 
Wabongo hatuna financial literacy. Tunapenda kuishi kwa kubangaiza na kuteseka, hata kazi unakuta mtu anaiita mihangaiko bora hata niggers wanasema hustling ila wangekuwa Bongo labda wangeita suffering. Hela iliyopatikana kwa shida inaonekana ya maana sana
Ndo mfumo uko ivo mzee nikujinasua mwenyewe.
 
Ujobless sio kitu cha mchezomchezo. Mwaka jana mabroo wawili wamejiua. Ila kwenye msiba wamedanganya kuwa waliumwa ghafla mwingine walisema pombe. Ila ukweli ni kwamba ni stress za ujobless wakaona wajiue. Hili jambo lipo ila watu wanafichaficha.
Noma sana mzee baba tatizo la ajira ni kubwa sana.. saiv kuna mpaka mabeki tatu wenye degree.. kuna beki tatu nishawahi kuona siku anawafundisha watoto wa boss wake hesabu nikashangaa iweje beki tatu anashuka mahesabu hv maana hawa wengi wanajua kuesabu na kuandika tu baada ya kupiga nae story mbili tatu ndo akaniambia ana degree ya uhasibu
 
Back
Top Bottom