Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

Waliowengi nao ni vilaza pia, kijana amemaliza chuo kikuu ukimwambia simama hapo ujieleze kwa dk 15, anaona ni mwaka na anavyovieleza havieleweki.
Mkuu hakuna aliyezaliwa anajua yote. Unaeza kuta kijana yupo vizuri ila wenge la ujobless ndio maana vitu havieleweki na miaka inaenda unakuta umri umefika 34+ ila bado maisha hayana ramani hivyo lazima mtu awe na wenge. Wengine wamefika stage ya kutamani kujiua au wengine washajiua.
 
Ila tukumbuke sio kila mtu anaweza kufanya biashara. Biashara ni wito
 
Ni kweli mkuu. Ila kwa wale wanaoona wanaweza kufanya, wangefanya ama kufungua biashara au kampuni. Unajua wakifanya hivyo watu wengi zinaweza kuibuka kampuni kubwa zenye uwezo zikakua na kukua, mpaka zikaajiri watu wengi zaidi hata wewe na mimi?
 
Kabisa mkuu.ni wenge mtu kakaa mtaa miaka 3,5 unazan ataweza jieleza bd stress acha tu.Me nilipitia icho kipind saiv namshukuru God nimejishkza sehem nilichojifunza kaz ya mtu ndo status yake.
 
Ujobless usikie tu ni kipindi kigumu sana hasa ukiwa umetoka familia zetu za kaza twende.unaweza jiondoa kwenye ii dunia.ata kujiamn mbele ya piss ni shida aisee Mungu awasaidie jobless wote 2023 mpate capital/kazi.
 
Kuna mda unafika mpaka mademu wanajiuza unaona wako sawaπŸ˜ƒ
 
Mtoa mada kawalenga zaidi wazee ambao wana uwezo wa kusaidia watoto wao alafu wamekausha hajasema kwamba vijana wabweteke tu kusubiria kupigwa tafu hata kama home hakuna uwezo. Alafu ambao mmesogea kimaisha kidogo achaneni na mtazamo kwamba kama wewe umepititia shida fulani basi ni halali na wengine pia wapitie shida pia, kupitia msoto sio mashindano. sio mbaya ukatengeneza njia ili wanaokufata wasikutane na magumu uliyopitia
 
Ujobless usikie tu ni kipindi kigumu sana hasa ukiwa umetoka familia zetu za kaza twende.unaweza jiondoa kwenye ii dunia.ata kujiamn mbele ya piss ni shida aisee Mungu awasaidie jobless wote 2023 mpate capital/kazi.
Ujobless sio kitu cha mchezomchezo. Mwaka jana mabroo wawili wamejiua. Ila kwenye msiba wamedanganya kuwa waliumwa ghafla mwingine walisema pombe. Ila ukweli ni kwamba ni stress za ujobless wakaona wajiue. Hili jambo lipo ila watu wanafichaficha.
 
Hao wa majumbani wengi wamekula mitaji wazee wakakasirika.
Wengine hawana exposure ya kufanya biashara ndugu yangu, biashara mpaka isimame uanze kuona faida sio mchezo unaweza ukaanguka mara kibao au ukabadilisha biashara mbili, tatu ya nne ndo ukaiotea
 
Ujobless sio kitu cha mchezomchezo. Mwaka jana mabroo wawili wamejiua. Ila kwenye msiba wamedanganya kuwa waliumwa ghafla mwingine walisema pombe. Ila ukweli ni kwamba ni stress za ujobless wakaona wajiue. Hili jambo lipo ila watu wanafichaficha.
Acha mkuu.Cyo powa walijinyonga?
 
Na uzazi wa mpango pia uwakumbushe maana ukosefu wa ajira ndio zile mimba ambazo hazikuwa kwenye ratiba, mzazi anamleta mtoto duniani wakati yeye hana future, uutawezaje tengeneza future ya mtu (mtoto wako) wakati yakwako imekushinda?
 
Wengine hawana exposure ya kufanya biashara ndugu yangu, biashara mpaka isimame uanze kuona faida sio mchezo unaweza ukaanguka mara kibao au ukabadilisha biashara mbili, tatu ya nne ndo ukaiotea
Kabsa mkuu maan ww n mgen wa biashara lazm ufail ndo uje kuielewa.
 
Na uzazi wa mpango pia uwakumbushe maana ukosefu wa ajira ndio zile mimba ambazo hazikuwa kwenye ratiba, mzazi anamleta mtoto duniani wakati yeye hana future, uutawezaje tengeneza future ya mtu (mtoto wako) wakati yakwako imekushinda?
Ni kweli mkuu.ila aya mamb unabd uwe makin mtoto ni hela aisee.
 
Waliowengi nao ni vilaza pia, kijana amemaliza chuo kikuu ukimwambia simama hapo ujieleze kwa dk 15, anaona ni mwaka na anavyovieleza havieleweki.
Unamwambia ajielezee nini? Katika mazingira gani? Na baada ya kujielezea unampa reward gani?
 
Wabongo hatuna financial literacy. Tunapenda kuishi kwa kubangaiza na kuteseka, hata kazi unakuta mtu anaiita mihangaiko bora hata niggers wanasema hustling ila wangekuwa Bongo labda wangeita suffering. Hela iliyopatikana kwa shida inaonekana ya maana sana
 
Ujobless sio kitu cha mchezomchezo. Mwaka jana mabroo wawili wamejiua. Ila kwenye msiba wamedanganya kuwa waliumwa ghafla mwingine walisema pombe. Ila ukweli ni kwamba ni stress za ujobless wakaona wajiue. Hili jambo lipo ila watu wanafichaficha.
Shida ukikaa ukajiuliza misuli yote ile nimefaulu level zote afu maisha yangu magumu zaid hta ya waliofail + dharau home dah aisee Usipokuwa na God unajipeleka pepon.
 
Ndo mfumo uko ivo mzee nikujinasua mwenyewe.
 
Ujobless sio kitu cha mchezomchezo. Mwaka jana mabroo wawili wamejiua. Ila kwenye msiba wamedanganya kuwa waliumwa ghafla mwingine walisema pombe. Ila ukweli ni kwamba ni stress za ujobless wakaona wajiue. Hili jambo lipo ila watu wanafichaficha.
Noma sana mzee baba tatizo la ajira ni kubwa sana.. saiv kuna mpaka mabeki tatu wenye degree.. kuna beki tatu nishawahi kuona siku anawafundisha watoto wa boss wake hesabu nikashangaa iweje beki tatu anashuka mahesabu hv maana hawa wengi wanajua kuesabu na kuandika tu baada ya kupiga nae story mbili tatu ndo akaniambia ana degree ya uhasibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…