Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

Tatizo la ajira kwa Tanzania ni kubwa kwani karibu kila wilaya una vyuo iwe afya au uhasibu au ualimu tena ndio maana hata leo hii manesi na madaktari wengi wapo mtaani hawana ajira kitu ambacho zamani hakikuepo hiyo sababu wasomi ni wengi leo nyumba chache hazina wasomi anzia vijijini hadi mijini, inatangazwa ajira 20 kwenye usaili mpo elfu sabini au laki unategemea upate kirahisi hakuna kitu kama hicho lazima ujiongeze kujichanganya mtaani kitu ambacho wasomi wanasahau na kuamini katika vyeti walivotoka navyo vyuoni.
 
Kwa ku add, Nchi hii ina ardhi nzuri tu kwa ajili ya kilimo

Vijana wanapaswa pia kuacha kufikiri kufanya miradi wakiwa individual, yaani kuwa na kiframe cha kuuza simu, laptops and etc!

Wanapaswa kujiunga angalau wawe hata 20 na zaid, wenye profession tofauti tofauti! Wapeane vitengo ndai ya hiyo organization yao, then waingie vijijini ndani huko! Watafute maeneo makubwa ekari kuanzia 30 and etc!!

Wanunue kwa pamoja na wafanye mradi wa pamoja!! Mfano wanaweza kuifaya organisation yao ya watu 20 kuwa ya ufugaji wa mbuzi, kuku,ng'ombe na kitimoto!!


watahitaji gross period ya kuanzia mwaka mzima kuja kuanza kupata profit, hapo wanafuga either wanauza kwenye viwanda vya nyama vilivyopo nchini lakini na wao wanafungua mabucha yao wakianza na mkoa mmoja mmoja mpaka nchi nzima baada ya miaka kadhaa!

Wanatafuta connection pia ya kuuza au kusafirisha nyama na ngozi kwa kuanzia humu humu barani afrika

Biashara kama hiz, vijana 20, kia mmoja akianza wa kuchagia milioni mbili, sawa na 40 milion!! mkiweka lengo comitment na wote mkaishi huko site mkaanza na hekari chache kama hata 10, kuna mahali bado hii nchi hekari inauzwa laki 250000, mna cleabushes wenyewe, mnajenga mabanda ya kuanzia wenyewe mnatafuta mifugo wenyewe ili kupunguza matumizi ya sio ya lazima trust me after 3 years mtatoa ajira nyingi zaidi


Fanya hivyo kwenye kulima, fanya hivyo kwenye gareji, kwenye kila kitu, jiungeni anzisheni joints wekezeni kwa pamoja kwa ukubwa zaidi, lazima mtoboe

Shida tunawaza starehe kwanza
 
Utawatoa wap mkuu na uo mtaji?
 
@Somaiyo mkuu Nikopeshe million mbili mkuu ili nikaungane na vijana wenzangu tufuge mbuzi wa maziwa sasa.
 
Unamwambia ajielezee nini? Katika mazingira gani? Na baada ya kujielezea unampa reward gani?
Kilaza mwingine huyu hapa.Reward gani? Kama hakuna kitu kwanin anakubali kujieleza
HUyo mtu wa kumwonyesha mtambo unavyooperate labda awe ndugu yake.
 
Duh! Mimi nimetoa maoni ili kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira kwa ngazi ya familia. Hasahasa zenye uwezo wa kifedha.


Ishu ya wajibu wa serikali mtashtukia mnasubiri sana kutatua, unakuta mtu anafikisha miaka 40-50 bila kazi au ramani πŸ˜‚. Wale ni wanasiasa tu na akili zao zinawaza kushinda uchaguzi. Na msitegemee kuitoa ccm kwa kura za uchaguzi kwa maana jamaa wana historia ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi. Uchaguzi unakuwa ndoige, wakishinda ni kama wameshinda na wakishindwa ni kama wameshinda.

Na hakuna mtu muoga kama Mtanzania. Labda mkapindue serikali πŸ˜‚
 
Tatizo sisi ngozi nyeusi hatuna akili. Yaan Kila kikundi kiwe cha ukoo, kazini, familia, ni kujadili michango ya kusaidiana kwenye misiba tu. Hata hivyo vinavyoitwa vikoba sometime ni upuuzi tu
Duh! Inabidi waswahili tubadilike
 
Tuwahchangie sisi nani alituchangia? Dawa siyo kuchangiana bali kuwajibisha viongozi wetu watumie raslimali zetu na madaraka tuliyowapa vizuri kwa faida yetu sote na siyo wao na magabacholi
 
Tuwahchangie sisi nani alituchangia? Dawa siyo kuchangiana bali kuwajibisha viongozi wetu watumie raslimali zetu na madaraka tuliyowapa vizuri kwa faida yetu sote na siyo wao na magabacholi
Asante sana kwa maoni.



Ila hapo kwenye viongozi, mtasubiri sana. Maana wapo bize na kulamba asali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Pia mipango yao ni kushinda uchaguzi hata kwa wizi. Bora tatizo la ajira litatuliwe kifamilia.

NB: Hakuna mtu muoga kama Mtanzania. Kama mnataka mabadiliko ya uongozi, labda mkapindue serikali.
 
Watanzania ni binadamu sawa na wengine. Hayajawafika shingoni. Nenda kwa majirani zetu kama vile Kenya, Malawi, Msumbiji na kwingineko uone wanavyosota na kutia akilini na kubadilisha serikali. Hayajawafika uzuri
 
Watanzania ni binadamu sawa na wengine. Hayajawafika shingoni. Nenda kwa majirani zetu kama vile Kenya, Malawi, Msumbiji na kwingineko uone wanavyosota na kutia akilini na kubadilisha serikali. Hayajawafika uzuri
πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtanzania hata maji yakimfikia puani yupo tayari kujigeuza samaki ili akae ndani ya maji.


Na wakubwa ni wajanja sana. Pesa za upigaji wanafinance secret mind control sectors ili vijana wapumbazike (brainwash). Pesa inaenda kwenye vyombo vya habari, bongofleva, matamasha, mchezo hasa simba na yanga. Mpaka mtu anasahau kuwa ana hali ngumu. Asubuhi mpaka jioni ni kuongelea simba na yanga, nchi inakuwa na wajinga wengiiiiiii. Wakati huku viongozi wanalamba asali πŸ˜‚
 
Reactions: A85
Wazo zuri sana, tatizo la ajira lishakua sugu halafu jamii imekariri kwamba kijana akimaliza elimu ya juu ni lazima aajiriwe na si kujiajiri inapelekea hata sisi vijana akili zetu kuzama huko kwenye kuajiriwa unashindwa kufikiria hata kamradi kadogo kakujiajiri
 
Tatizo lishakuwa sugu, mpaka linafichwafichwa. Utashtukia mtu anafika miaka 40-50 hana chanzo chake cha mapato wala ramani yoyote. Inatakiwa hili tatizo lianze kutatuliwa kwa ngazi ya familia hasa zile zenye uwezo.
 
Tungeanza mashuleni kwa watoto wetu mitaala iongezwe masomo mawawili muhimu financial management na ujasiriamali(sio kufundisha watoto kuuza pipi na machinga ila ni kutumia akili kupambanua fursa zilizopo duniani).

Pia serikali ingefanya elimu ya ufundi kuwa ya lazima na sio form 4 kama ilivyo sasa angalau kila kata kuwe na vyuo vya ufundi kama tutaweza hili after 20 years to come Tanzania itakuwa mfano duniani.
 
Wanachezea akili za watu. Muwe bize na Simba na Yanga. Huku wao wanalamba asali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio kosa kuwa bize na michezo mm naona ni fursa ila kwetu ni tofauti kabisa pamoja na michezo hasa mpira kupedwa sana ila huoni serikali ikipush ili kuboresha mazingira na kuvutia watoto na vijana wengi zaidi wajiajiri humo ila kinachoonekana ni kama mpira umegeuzwa kuwa sehemu ya masikhara..

Always tanzaniz hatupogi serious ni mwendo mizaha mizaha kila sehemu.

Imagine investor mmoja tu azam ameweza kukuza mpira na boxing kwa kiwango kikubwa sana sasa kama serikali na yenyewe ikiwa serious tungekuwa wapi now..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…