Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Mwendakuzimu alikuwa Mshamba sana
 
Ha ha haaa! Mkuu, niendelee kuchutama, ama nitoke sasa hali imekaa sawa.
===
Nadhani sasa uninanielewa kwa kinachoendelea, huko kwa Jirani.
 
Ha ha haaa! Mkuu, niendelee kuchutama, ama nitoke sasa hali imekaa sawa.
Endelea kuchutama. Kenya Tume HURU inasimamia uchaguzi, Tanzania Tume CCM husimamia uchaguzi, bila shaka hakuna unachojifunza kwani si kila moja wetu ana uwezo huo wa kujifunza.
Nadhani sasa uninanielewa kwa kinachoendelea, huko kwa Jirani.
Kuelewa nini ndugu yangu, hebu funguka...huko kwa jirani kunaendelea ninI!
 
Siku yake ilipofika yule mchukuaji wa roho aliingia kiulaini akiwaacha askari wakiendelea kumlinda
 
Aisee wa nikupea utanipea wako mbali sana ,nimefuatilia uchaguz wao mpaka mate yamenitoka ,anyway wanaweza wakawa na mapungufu ila wakuu hii mijamaa iko vizuri ,wako smart, siyo huku kwetu ,uchaguzi haujulikani unafanywaje full ujambarika,mgombea urais upande wa upinzani amejaa matundu ya risas dah e mola tutafika link huko,
 
Come 2025,tutakuwa tumewapita mbali Sana kwenye masuala ya welfare..

Samia ni Suluhi ya changamoto za Tanzania.
 
But elewa Kenyans wamepigania mno kufikia hali hii na kuna wakenya they pay with the highest price, tusisahau hili
 
Siasa za maendeleo siasa za Civilized people.

DEEP STATE YA kenya usiilinganishe na ya Rwanda au Kongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…