mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Uharibifu aliotufanyia wa kuanza ujenzi wa reli standard gauge (SGR), na kutujengea bwawa la mwl Nyerere la kufua umeme, kutujengea barabara ya njia 8 (Kimara-Kibaha), Bus stand ya kimataifa pale ubungo, Fly overs kibao huo ni uharibifu mzuri sana!! Tungetamani aendelee kufanya uharibifu huo lakini muumba wake akampenda zaidi na kumchukua!! Tutamuenzi daima kwa "uharibifu" huo!!Dikteta zama hizi ataharibu kama ndugu yenu yule mliyemzika Chato..
Cheap mind huwa mnakimbilia hapo,subirini 2025 Samia awaonyeshe maana ya kuwa kiongozi bila udikteta Wala mbwbwe zile za flyover.
Kuwa na kiongozi dikteta mzalendo na mpenda maendeleo siyo jambo la kulifurahia. Hakuna kitu kibaya kama mtu anakuongoza vibaya halafu hakuruhusu kutoa maoni yako. Ni mwendo wa kutii tu, bila kutumia akili( mawazo sahihi ni ya yule mwenye cheo). Kama huna cheo, basi wewe huna mawazo sahihi ( hapo utakuwa umekufa huku unaishi).Ukweli ni kwamba Tz bado tunahitaji dikteta mzalendo na mpenda maendeleo atusukume kwa nguvu upande wa uchapa kazi na maendeleo!
Ccm ni maumbwa kabisa, hayajitamuimbui hata. Ukiona watu wanateua mtu kichaa awe rais ni hatari Sana!Ndio unajua leo kama wewe ni takataka
usiwaamini masisiemu linapofika suala la uchaguzi, huwa wanakuwa na agenda moja ya kuhakikisha mgombea wao anashinda kwa namna yoyote ile ikibidi hata kumwaga damu.Come 2025,tutakuwa tumewapita mbali Sana kwenye masuala ya welfare..
Samia ni Suluhi ya changamoto za Tanzania.
Wewe hutokufa,,Utabaki duniani milele ulinde dunia.Lile nduli lililokufa ndio liliharibu demokrasia yetu. Wachomaji huko jehanamu waongeze kuni
Mnataka mbaki wajinga peke yenu?
Na vigodoloNchi imejaa wajinga na wapumbavu hii tutachutama vipi?
Watu wanawaza ngono, umbeya na mpira tu lkn mambo ya msingi wala hawaongelei
Uchaguzi wa Tanzania ni hopelessness, ukisimamiwa na low iq
akiwemo KikweteIla hadi leo bado kuna watu wanasimama na kusema eti 2020 kulikuwa na uchaguzi na wameshinda kwa kishindo kwa asilimia 99 nchi nzima, Na maeneo mengine wamepita bila kupigwa?",
Bara bara ya njia nane inamsaidia nini Mwananchi wa Nyakato au Mtwara??Uharibifu aliotufanyia wa kuanza ujenzi wa reli standard gauge (SGR), na kutujengea bwawa la mwl Nyerere la kufua umeme, kutujengea barabara ya njia 8 (Kimara-Kibaha), Bus stand ya kimataifa pale ubungo, Fly overs kibao huo ni uharibifu mzuri sana!! Tungetamani aendelee kufanya uharibifu huo lakini muumba wake akampenda zaidi na kumchukua!! Tutamuenzi daima kwa "uharibifu" huo!!
Huyu jamaa sijui kwanini nikiona picha yake huwa natetemeka na moyo unasinyaa.
Sahihimkuu afadhali umajijua wewe ni lofa,usimuingize hata mdogo wako kwenye ulofa huo.
hawa watu mpaka kuuana kisa uchaguzi,huo sio ujanja ni matatizo waliyo nayo.
Hivi Kikwete anajisikiaje baada ya kushuhudia uchaguzi wa Kenya , haoni aibu kweli ?
Kwani hiyo roho ilikuwa kabatini?hakuwa anailinda roho yake,alikuwa anajilinda na mabazazi yanayoikula nchi kwa sasa.