Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Kuna dude linaitwa Tume ya Uchaguzi. Hili dude linalipwa mabilioni ya kodi zetu kwa lengo moja tu ...kuchafua uchaguzi!Wanauana iwapo kura zinachezewa, sio hapa kwetu kwa maiti hai vyombo vya dola vinaagizwa na majizi ya CCM kuhakikisha wao ndio wanatangazwa washindi. Najuta kwanini nilizaliwa hapa kwenye nchi ya makondoo.
2020 unyang'anyi ulisimamiwa na Lazaro MambosasaWanauana iwapo kura zinachezewa, sio hapa kwetu kwa maiti hai vyombo vya dola vinaagizwa na majizi ya CCM kuhakikisha wao ndio wanatangazwa washindi. Najuta kwanini nilizaliwa hapa kwenye nchi ya makondoo.
2025 CHADEMA mtahesabu kuraLile nduli lililokufa ndio liliharibu demokrasia yetu. Wachomaji huko jehanamu waongeze kuni
CHAGUZI ZA TANZANIA NI KAMA CHAGUZI ZA KAMATI ZA HARUSISina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na dunia nzima , bila kusubiri ruhusa ya wenye mtindio wa ubongo!
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
2020 upinzani ulikuwa unajaribu uchaguzi ukaangukia kwenye kujichafua.Lile nduli lililokufa ndio liliharibu demokrasia yetu. Wachomaji huko jehanamu waongeze kuni
Ndugu yangu TUJITEGEMEE, hebu chutama kwanza. Pamoja na nyani kutoona kundule, naomba unipe jibu katika swala linaloleta huo utofauti...je kuna siri gani katika kuhesabu kura?Leta tofauti ya uchaguzi huo na wa kwetu!!!
Isaya 50:11
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Dah, mkuu Mag 3.Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na dunia nzima , bila kusubiri ruhusa
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Mwishowe hata chizi anaweza kuwa na nafuu kidogo zaidi yako!Uchaguzi wa Kenya unasimamiwa na JK wa Tanzania, usisahau hilo we.bavicha
Lakini si hata Mahakama zao unajua zinafanya kazi, au hujui?Ni mapema mno kuanza kujifaragua, hao unaowasifia atakayeshindwa LAZIMA atayakataa matokeo pamoja na mapambio yako ya mtiririko.