Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Kwa Tanzania ni kosa kisheria kuhesabu kura za Rais kituoni - Kura ya Rais itahesabiwa na Tume pale Makao makuu....

afu you call it UCHAGUZI aisee tuchutame ni aibu kwa kweli, tupo nyuma miaka 100 mbele ya wakenya.
Sisi hatuna uchaguzi ni kupotezeana muda tu
 
Namuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga

Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uongo, hasimamii chochote, yeye yuko kwenye tume ya waqngalizi tuuu. Na wala siyo mwenyekiti wa hiyo tume.!!!!!
Upo rite mkuu Mr.kikwete anapenda sana to fly hana kazi yeyote pale maana kila kitu kipo wazi, nipo hapa lingusenguse ninaona kila kitu live!wasimamizi wa nini?,kudos Kenyans na ninaamini atakayeshindwa ata shake hand na mshindi, au attendance kwenye judiciary yao iliyo huru kabisa,sio kuingia mitaani
 
Tz ni sawa na mtu mzima anayejifunza kwa mtoto.Wakati wenzetu wenye akili wanakimbia na kasi ya dunia sisi bado tumesimama pale pale ndo maana hadi leo wale maadui waliotajwa na mwalimu enzi tunapata uhuru hadi leo bado wako vile vile na wameongezeka.
 
Uchaguzi wa Kenya unasimamiwa na JK wa Tanzania, usisahau hilo
Na JK ndiyo Mtaalaamu wetu kwenye Mambo ya uchaguzi! Ujuwe akisimamia yeye hata baada ya Matokeo hakuna fujo zitakazo tokea, either mmerizika au hamjarizika! Just like that,life back to normal!! JK is very smart!!
 
Namuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga

Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan
Usisahau kipindi cha Magu tulikua kwenye Vita ya kiuchumi! Na Vita ya Uchumi ni ngumu sana!!!
 
Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.

Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.

Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.

Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Mkuu kwa Huzuni kubwa huku kwetu wale walafi wa madaraka wanachokiona Kenya wanaona kama ushamba badala ya ustaarabu uliotukuka .Tanzania nchi yangu ya Watu tuliolala huku tukidhulumiwa mamlaka yetu!!
 
Hapa Tanzania ni nchi ya makondoo, huku wajinga wakiwa ndio wameshika madaraka. Kitu pekee Kenya wamekosea na kukubali akina JK kwenda kuwa wasimamizi wa uchaguzi wao, wakati akina JK ndio mabingwa wa siasa za kihayawani hapa nchini.
Wapi JK alishawai sababisha mauwaji ya uchaguzi!?
 
Namuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga

Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan
Naona alisahau Mungu yupo, mwenye kulinda wenye Haki. sasa analindwa na Nondo down the Earth. Tendeni mema jamani, dunia sio yetu hii.
 
Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.

Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.

Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.

Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?

Si ameshakufa jamani 17/3/2021
 
Jamaa yenu aliechafua uchaguzi wa mwaka 2020 naona yupo Kenya kama msimamizi,anafuatilia uchaguzi haoni hata aibu
FZx5tJcWYAAA2ee%20(1).jpg
 
Sasa kuna mtu kaenda huko wa fisim kusimamia uchaguzi na amtakaye yeye ndio atakuwa anguvu zake so tusubiri atakayeshinda ndio fisim wanamtaka .
 
Tito katweet kuhusu unafiki wa viongozi wetu kujazana Kenya kama waangalizi wa uchaguzi halafu ikifika zamu yetu tunaruhusu waangalizi wa michongo tu.
Kama Mmojawapo huyo hapo[emoji116][emoji116]
FZx5tJcWYAAA2ee%20(1).jpg
 
Ni mapema mno kuanza kujifaragua, hao unaowasifia atakayeshindwa LAZIMA atayakataa matokeo pamoja na mapambio yako ya mtiririko.
Kinachozungumziwa ni utaratibu wa wazi uliowekwa na tume ya uchaguzi sio mawazo ya mgombea vile atakavyopokea matokeo.
 
Back
Top Bottom