Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Huyo anaitwa @JKipaya, kafuzu katika utaahira! Watu dizaini hii wametamalaki nchini Tanzania utadhani kuna kiwanda cha kuwafyatulia.Unauliza au unapigia jibu mstari? Wakati uchaguzi wa znz unafutwa baada ya watu kuumizwa na CCM kushindwa, JK si ndio alikuwa rais, au unajitoa ufahamu?
Una uhakika kama kura zinahesabiwa kwa siri hapa Tanzania au unakurupuka tu?
Kura zinapigwa kwa siri (kwa kuwa ni haki ya mpiga kura kumchagua mtu anayemtaka bila kujulikana anamchagua nani)
Linapokuja suala la kuhesabu kura zinahesabiwa kwa uwazi kabisa ambapo kunakuwa na wasimamizi wa uchaguzi na mawakala wa wagombea then yanabandikwa hadharani.
Anyway, una taarifa kuwa huko kenya kuna malori mawili yamedakwa kutoka Uganda yamebeba wapiga kura?😄
Ila haiwekan na hatutaweza kuipita. Tutabaki tunaangalia tuKenya wametuonyesha njia
Tena aache kabisaPunguza upuuzi
Acha uongo kura zote zinahesabiwa Kituoni.Kwa Tanzania ni kosa kisheria kuhesabu kura za Rais kituoni - Kura ya Rais itahesabiwa na Tume pale Makao makuu....
afu you call it UCHAGUZI aisee tuchutame ni aibu kwa kweli, tupo nyuma miaka 100 mbele ya wakenya.
Ndio wale wanaojiita wenye Chama ?? Au ?!!Tanzania ina wamiliki wake Mkuu.
Hivi mnafikiriaga nini?[emoji23]Sipati picha uchi wa mtoa mada unaonekanaje [emoji16]
Watu wanawaza kupiga pesa tu !!Nchi imejaa wajinga na wapumbavu hii tutachutama vipi?
Watu wanawaza ngono, umbeya na mpira tu lkn mambo ya msingi wala hawaongelei
C kasema mambo ya kuchutamaHivi mnafikiriaga nini?[emoji23]
Hii ni Jamii Forums, huu ni udaku hebu kaupeleke huko kwenye ile mitandao yenu na si Jamii Forums. Sijui Watanzania tumelogwa au vipi, shame on you Madukwa Peter...Linapokuja suala la kuhesabu kura zinahesabiwa kwa uwazi kabisa ambapo kunakuwa na wasimamizi wa uchaguzi na mawakala wa wagombea then yanabandikwa hadharani.
Inaonekana unapenda sana kuficha ujinga.Uakurupuka bila kunawa uso na kukimbilia kupost ujinga bila ufafanuzi.
Uwazi mnauona nyinyi tu kwa kuwa watz mmekuwa desperate mno na chaguzi za wengine.Kinachozungumziwa ni utaratibu wa wazi uliowekwa na tume ya uchaguzi sio mawazo ya mgombea vile atakavyopokea matokeo.
Kwahyo unaogopa bunduki? Au ulitaka asiwe na ulinzi wa bunduki? Kwahyo alindwe na manati?Namuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga
Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan