Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Liangalie hilo neno "unasimamiwa" vizuri halafu uone kama linafaa kuwepo.Je,Waangalizi huwa Wasimamizi tangu lini?
Achana na hiyo taka taka, nasikia hana mpinzani humu JF kwa michango ya kipumbavu! Yuko 24/7 humu kuanzisha mada zisizo na kichwa wala miguu! Hata hivyo naambiwa nisishangae sana kwani asilimia kubwa huko CCM wako hivyo hivyo. Mtu ulelewe katika mazingira ya wizi halafu usiwe mwizi, thubutu!
 
Sijui wewe taka taka uliwezaje kujiunga Jamii Forums. Wewe utakuwa wale waleeee...unatia aibu. Jifunze angalau kuandika Kiswahili, lugha yetu ya taifa
Mwendazake alikuwa Rais alikuwa hajui Kiswahili wala Kingereza umeelewa wewe?
 
Kusema na kutenda mbalimbali. Hili linajulikana, na ushahidi umejaa tele humu JF toka Sept. 28, 2011.

Na kama kawaida, swali lililoulizwa halina jibu!

Tuendelee na mengine.

Ulitaka iweje labda bro?
 
🙆🙆 Duuu kazi ipo leo.
Eti ananitukana huyo...hizi laana tumeletewa tu na CCM. Mikesha ya mwenge ilituletea viumbe vya ajabu kweli kweli...ataachaje kunitukana? Halafu kwa uhayawani wake anadhani yule shetani anayeungua motoni nina connection naye? Kwa kweli hanijui; atanijulia wapi?
 
😂😂 Nimecheka kwa nguvu
 
Niliuliza swali mkuu wangu 'Tindo', lakini sikupata jibu.
Swali gani mkuu, maana usidhani ni lazima ukiuliza swali ujibiwe kama kwenye chumba cha mtihani. Kumbuka sio lazima kila muda unapouliza mtu asubiri kukujibu.
 
Kwa kweli uchaguzi wa Tanzania, chini ya serikali ya CCM, na yule mwovu mihela, ni alama ya uovu unaokosa jina stahili.

Kenya wapo juu, wapo mbele, wamestaarabika, ni binadamu kamili waliohitimu evolution, siyo hapa kwetu ambapo eti ukipiga kura ukakae mbali, usione wanavyoiba na kubadilidha matokeo.

Sisi katika demokrasia, tumekuwa nchi mkia. Tume ya uchaguzi inajua kuwa jukumu lake kubwa ni kukata majina ya wagombea wa upinzani!!
 
Jizi ndio hilo
IMG-20220810-WA0033.jpg
 
Swali gani mkuu, maana usidhani ni lazima ukiuliza swali ujibiwe kama kwenye chumba cha mtihani. Kumbuka sio lazima kila muda unapouliza mtu asubiri kukujibu.
EeeenHeeeee!
Kutojibu swali ni kukosa jibu.
 
Back
Top Bottom