Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wakenya KANU walishaitupa kuzimu siku nyingi tu.Yaap shida waBongo tunadhani waKenya wamefika Sababu yakuchekeana wamechapana na The Hague walifika now Kila mtu anamuheshimu mwenzie hakuna kitu kinatokea kama MANA jangwani...cccm wanajua Kura zikipigwa na kuhesabiwa kwa Uwazi watu watamaliza uchaguzi saa3 asubuhi...na wenyewe watakuwa kwenye jumba la makumbusho
Ila haya hayajaanza leo maana hata Mzee Kenyatta alimwambia Nyerere anatawala makondoo.