Sisi hatuna uchaguzi ni kupotezeana muda tuKwa Tanzania ni kosa kisheria kuhesabu kura za Rais kituoni - Kura ya Rais itahesabiwa na Tume pale Makao makuu....
afu you call it UCHAGUZI aisee tuchutame ni aibu kwa kweli, tupo nyuma miaka 100 mbele ya wakenya.
Acha uongo, hasimamii chochote, yeye yuko kwenye tume ya waqngalizi tuuu. Na wala siyo mwenyekiti wa hiyo tume.!!!!!Uchaguzi wa Kenya unasimamiwa na JK wa Tanzania, usisahau hilo
Uchaguzi unasimamiwa na Tume huru ya uchaguzi ya Kenya. JK ni mtalii tu kama Pira wa royo tuaUchaguzi wa Kenya unasimamiwa na JK wa Tanzania, usisahau hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga
Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan
Upo rite mkuu Mr.kikwete anapenda sana to fly hana kazi yeyote pale maana kila kitu kipo wazi, nipo hapa lingusenguse ninaona kila kitu live!wasimamizi wa nini?,kudos Kenyans na ninaamini atakayeshindwa ata shake hand na mshindi, au attendance kwenye judiciary yao iliyo huru kabisa,sio kuingia mitaaniAcha uongo, hasimamii chochote, yeye yuko kwenye tume ya waqngalizi tuuu. Na wala siyo mwenyekiti wa hiyo tume.!!!!!
Na JK ndiyo Mtaalaamu wetu kwenye Mambo ya uchaguzi! Ujuwe akisimamia yeye hata baada ya Matokeo hakuna fujo zitakazo tokea, either mmerizika au hamjarizika! Just like that,life back to normal!! JK is very smart!!Uchaguzi wa Kenya unasimamiwa na JK wa Tanzania, usisahau hilo
Usisahau kipindi cha Magu tulikua kwenye Vita ya kiuchumi! Na Vita ya Uchumi ni ngumu sana!!!Namuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga
Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan
Mkuu kwa Huzuni kubwa huku kwetu wale walafi wa madaraka wanachokiona Kenya wanaona kama ushamba badala ya ustaarabu uliotukuka .Tanzania nchi yangu ya Watu tuliolala huku tukidhulumiwa mamlaka yetu!!Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Wapi JK alishawai sababisha mauwaji ya uchaguzi!?Hapa Tanzania ni nchi ya makondoo, huku wajinga wakiwa ndio wameshika madaraka. Kitu pekee Kenya wamekosea na kukubali akina JK kwenda kuwa wasimamizi wa uchaguzi wao, wakati akina JK ndio mabingwa wa siasa za kihayawani hapa nchini.
Naona alisahau Mungu yupo, mwenye kulinda wenye Haki. sasa analindwa na Nondo down the Earth. Tendeni mema jamani, dunia sio yetu hii.Namuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga
Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan
Si ameshakufa jamani 17/3/2021Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Kama Mmojawapo huyo hapo[emoji116][emoji116]Tito katweet kuhusu unafiki wa viongozi wetu kujazana Kenya kama waangalizi wa uchaguzi halafu ikifika zamu yetu tunaruhusu waangalizi wa michongo tu.
Hili lipicha, kama ingekuwa Kenya lingekuwa limekatwa kichwaa kabsaa.likafie mbali.
Wapi JK alishawai sababisha mauwaji ya uchaguzi!?
Ila watanzania kusapoti mambo ya kipuuzi kama mpira hawajamboNchi imejaa wajinga na wapumbavu hii tutachutama vipi?
Watu wanawaza ngono, umbeya na mpira tu lkn mambo ya msingi wala hawaongelei
Kinachozungumziwa ni utaratibu wa wazi uliowekwa na tume ya uchaguzi sio mawazo ya mgombea vile atakavyopokea matokeo.Ni mapema mno kuanza kujifaragua, hao unaowasifia atakayeshindwa LAZIMA atayakataa matokeo pamoja na mapambio yako ya mtiririko.