Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Bado siamini, nitaendelea kusubiri official news kuhusu hili.
Yani mmeshaambiwa na hamsikitiki jamani?!
If it is true, I am saddened in my heart.

Kama ni mfuatiliaji angalia kama unaona post yeyote toka kwa kina Victorie et al (ambao walikuwa very vocal and adamant kuthibitisha otherwise mwanzoni habari hizi zilipoanza).
 
Mwanga wa JF akiwa kazini JF !
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo st. Peters hapa mimi ndo niko hapa chuma kinasali hapa leo
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
Mkuu huyu unamuonea, watu wengi kwa sasa wako hivi, kipindi lissu ametwangwa risasi baadhi ya watanzania unaambiwa walikesha baa.tuvumiliane tu.Tanzania yetu imefikishwa kubaya...
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
Muda mfupi ujao nitatinga ITV kupeleka tangazo langu la kupotelewa na jamaa ili litoke jioni SAA 12 kama ilivyo kawaida yao.
Najua kutangaza kupotelewa ni bure hivyo sitatozwa kitu. Ni lazima kuchukua hatua huyu Gerson anatutania
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…