Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo bashe yupo kwenye hili kundi??? Nimemuona twita huko anabweka balaaa
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
Hizi siku chache watu wenye roho mbaya na chuki iliopitiliza wanajidhihirisha.
 
Hivi tetesi zote hizi Jiwe anavyojua kujimwambafay angesha toa neno.
Mwanaye mpendwa, TumainiEl Etwege Mgonjwa mtambuka kimyaaaaa
Tenda muujiza Baba Tenda Muujiza..... unaufahamu huu Wimbo???

Tuimbe sote.....
Nasema Mfalme wa Amani Uinuliwe.....Daudi kasema nilikuwa kijana sasa ni mzee sijawahi ona mwenye Haki akiachwa mimi wala watoto wake kuombaomba mikate barabarani.....
Live long TL
 
Na kama ni habari ya kutungwa,itakuwa kashfa ndani ya jamii ya upinzani.
Lakini ikiwa ni kweli bado ni kashfa ya kukosa utu mbele ya jamii.
Usiombee ile kashkash au swaga itayofuata kama ni kwa makusudi.Chezea Mossad lo hatari tupu.
 
....."Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu, mgoniwa kuwa salamaa...wote tunawapa pole..!"

Nimeukumbuka sana huo wimbo.
 
ctaki kuamini penyee alipo hatuna member hata angalau wakuanzisha thread mbovu mbovu yenye captures mbili tatuu... [emoji6][emoji849]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…