Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Baba gani asiye na utu?
 
Tunamsubiri msemaji mkuu wa serikali
mkanushaji mkuu wa ukweli yule juzi kusema serikali haidaiwi na IPTL $186M atawasiliana mpaka mkimbie account zenu humu.all in all Mungu awake mkono wake Kama kweli a naumia as hinder ma jaribu yule ni baba ni Raisi ni Mume na ana ndugu... hii roho mbaya za kuombeana vifo hazitufikishii popote.maana kila mtu ana kifo chake
 
M mwenyewe sielew, bila shaka kuna jambo limenipita kushoto....
Anyway lbda sbb nipo mbali na dunia huku ushirombo naugulia,
mvua imepita na makebich yangu yote nimebakiziwa vyuraa

Daah Mkuu japo nimecheka sana ila pole sana hii mvua sio nzuri kbs
 
Mungu amponye na arudi kwenye majukumu haraka.

TZ ya sasa imebadilika sana watu wanafurahia kuugua kwa mkuu wa nchi japo sio taaifa rasmi, ukwapi udugu wetu uliodumu kwa kipindi kirefu?

Hili suala si la kupuuza viongozi wetu lazima wafanyie kazi hii changamoto ili kurudisha upendo na mshikamano wetu uliojengwa na Baba wa. Taifa
 
Nakubaliana na wewe ndugu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…