Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
QUOTE="Papaa_Mobimba, post: 33197991, member: 541097"]
USHAURI WA BURE KWA MHE. RAIS MAGUFULI.

Wakati Unaendelea kupata Ahueni kutokana na Yasemwayo Mitandaoni naomba Nikutie moyo kuwa bado ww ni Mkuu wa Nchi .

Tafadhali Muite Mhe.Lissu Mpe Uhakika wa Usalama wake muombe Msamaha kwa Yaliyotokea September 07 2017 natumaini atasamehe na Kusahau kama wewe ulivyowasamehe akina Nape na January, waite pia Wapinzani wako wa Kisiasa kaa Nao Meza Moja Maliza nao Tofauti hata ikibidi nyuma ya Camera.

Ukifanya Hivyo Nchi yetu itakuwa imeanza Upya Kidemokrasia Zaidi Huku Amani Upendo vikitataradi.

NAKEYIIIIII
[/QUOTE]
Ni kwamba Kuna watu kawakosea ndo maana Kuna habari nyingi humu jf? Fafanua papa mobimba tupate abc
 
Yeye mwenyewe alofurahia Madhira yaliyompata Lissu
 
*Anaandika Sam Ruhuza*

Hali Hii inatisha!

Unapoona watoto wanatamani kusikia Baba yao amevuta, basi ujue aliyewafikisha hapo ni Baba yao mwenyewe!
Malezi bora unayompa mtoto ya Upendo na kumthamini ndio yanamjenga mtoto kukupenda na kukuheshimu kama Baba na atakulinda na kukutea kwa kila hali, Ukiona kila saa unamkumbusha mtoto kuwa mimi ndio Baba yako, ujue kuna shida kubwa Sana kwenye Malezi.
Baba anatakiwa alee familia yake kwa Mapenzi yote ili watoto watamani kuishi na Baba yao. Inatisha sana pale unaposikia watoto wakifurahia kumuhesibia time Baba yao bila hata kujua ni kweli au sio lakini wanaonekana kutamani kuwa kweli!

Ninaomba sana Baba mwenye malezi ya chuki, hasira, kutukana hovyo, kuchapachapa, kumfunga ndani, kumzuia kuongea,... matendo yote ya hovyo unyanyasaji kwa wanao, basi tegemea hata ukiumwa mafua, watatamani uzime jumla!
Watoto wanahitaji upendo, kumjali na kumheshimu, usimnyanyase hata kidogo!

Kama unaumwa, sawazisha na wanao na ikiwezekana waambie na wengine wakuombee upone!
Ninawatakia malezi mema kwa watoto wenu.
 
Kadri tetesi zinavyozidi kuenezwa na radio mbao ni wazi kuwa huko tuendako ulinzi wa anayeitwa Rais wa nchi utaimairishwa ajabu.

Ndiyo, juhudi kubwa zitaongezwa kuimarisha ulinzi wa huyo Rais - karibu yake, around him, katikati ya kadamnasi. Juu na angani, Wanaoonekana na wasioonekana, Wanaojulikana na Wasiojulikana.
Like we never experienced before...

Na hatua hiyo itathibitisha kuwa tetesi zile za radio mbao zilikuwa zaidi ya tetesi..!

#FuturePost
 
Ni kwamba Kuna watu kawakosea ndo maana Kuna habari nyingi humu jf? Fafanua papa mobimba tupate abc[/QUOTE]Ndg. Kinusikwetu watu wengi wanamuombea Mabaya Mhe.Rais sio kwa Kupenda Bali ni Kutokana na Vitendo kadhaa vya Uhalifu dhidi ya Binaadamu vilivyowahi Kutokea huko Nyuma yeye akiwa Rais,kwa Mfano Tukio la Mhe.Lissu Kupigwa Risasi trh 07 sept 2017. Na Madhila Mbali mbali yanayowakuta Wapinzani nchi hii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…