toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,111
Nimeamini hiki kitufe cha new posts ni balaa tupu
Ndg. Kinusikwetu watu wengi wanamuombea Mabaya Mhe.Rais sio kwa Kupenda Bali ni Kutokana na Vitendo kadhaa vya Uhalifu dhidi ya Binaadamu vilivyowahi Kutokea huko Nyuma yeye akiwa Rais,kwa Mfano Tukio la Mhe.Lissu Kupigwa Risasi trh 07 sept 2017. Na Madhila Mbali mbali yanayowakuta Wapinzani nchi hii.Ni kwamba Kuna watu kawakosea ndo maana Kuna habari nyingi humu jf? Fafanua papa mobimba tupate abc
Supu ya leo naifuata Triple 7 MikocheniMkuu supu tayari hapo fyatanga?
Duemfu anashauriwa?? ameshakufa,na alishasema yeye ni jiwe kweli kweli, tusibiri mazishi tu,jiwe limekufaa
Jana amefanya teuziKm mzima afanye hata press tumuone Basi,, tumemmiss
Haya sio maoni, hii ni habari ambayo haijathibitishwa (tetesi)! Nadhani habari kama hizi huwa hazitakiwi kufika kiwango hiki hasa zinapohusu Mambo nyeti kama ilivyoMkuu kosa La jf ni nn.unawaonea.hapa jf ni maoni ya RAIA.unazuiaje maoni ya watu.
Yeye nani huyo?
Get well soon Kiongozi wetu tunakuombea.
Mapicha picha yanaendeleaKila mtu atavuna apandacho, tusilazimishane kutaka mavuno mema kwenye pando la mtu, lets be serious in harvesting time!!!View attachment 1238901
Live au kwenye A4?Jana amefanya teuzi
Mafumbo yamezidiMkuu ni kama unataka kufundishwa kusema 'a' e i o uuuuuuu ,mbona unauliza uliza sana kama vile wewe ni mgeni wa Habari ?
Au kuna kitu unachunguza humu ?
MAKE TANZANIA GREAT AGAINEti MATAGA ndio nini au nani?
Hiyo siginecha sasa!!.wakati tumenawa mikono tukisubiri huo ubwabwa ambao tumeambiwa tu upo.kule jikoni kuna mafundi wanajenga.yaani hamna dalili kama kumepikwa kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1238724