Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ni kwamba Kuna watu kawakosea ndo maana Kuna habari nyingi humu jf? Fafanua papa mobimba tupate abc
Ndg. Kinusikwetu watu wengi wanamuombea Mabaya Mhe.Rais sio kwa Kupenda Bali ni Kutokana na Vitendo kadhaa vya Uhalifu dhidi ya Binaadamu vilivyowahi Kutokea huko Nyuma yeye akiwa Rais,kwa Mfano Tukio la Mhe.Lissu Kupigwa Risasi trh 07 sept 2017. Na Madhila Mbali mbali yanayowakuta Wapinzani nchi hii.
[/QUOTE]
Noted papaa mobimba
 
Natabiri pia wakati ujao kwenye chaguzi zinazokuja huko mbeleni vyama vya siasa vitakua makini sana kupita maelezo kwenye teuzi za watakayemsimamisha kupeperusha bendera za vyama vyao

Watahakikisha mgombea wao wa nafasi husika wanamjua nje ndani na pengine watalishana viapo na yamini wasigeukane. Hawatataka kumsukumiza mtu kwenye kiti kwa bahati mbaya, iwe kwenye udiwani au ubunge, acha niishie hapa
 
Kila mtu atavuna apandacho, tusilazimishane kutaka mavuno mema kwenye pando la mtu, lets be serious in harvesting time!!!
Screenshot_20191020-080158.jpeg
 
Mkuu kosa La jf ni nn.unawaonea.hapa jf ni maoni ya RAIA.unazuiaje maoni ya watu.
Haya sio maoni, hii ni habari ambayo haijathibitishwa (tetesi)! Nadhani habari kama hizi huwa hazitakiwi kufika kiwango hiki hasa zinapohusu Mambo nyeti kama ilivyo

Tetesi zinazoweza kuruhusiwa ku trend siku zote hizi bila kuthibitishwa au kuzuiwa ni hizo za kina diamond na kina wema!!

Ila tetesi zinazohusu nchi!!!! Aaaaahh...siamini kama wanahabari wanaruhusiwa kuruhusu hii kitu
 
Get well soon Mheshimiwa Rais. Tunakuombea na kuiombea nchi yetu. Sote binadamu tu wakosefu. Na mbora wetu ni yule anaemuogopa Mungu, kumuomba msamaha na kueneza upendo. Kwa amani na salama ya nchi yetu, eeh Mola Tujaalie kila lenye kheri nasi na ondosha lenye shari kwa nchi yetu. Mpe Rais wetu ponyo, busara na weledi wa kutuongoza bila ya matabaka.
Get well soon Kiongozi wetu tunakuombea.
 
Mkuu ni kama unataka kufundishwa kusema 'a' e i o uuuuuuu ,mbona unauliza uliza sana kama vile wewe ni mgeni wa Habari ?

Au kuna kitu unachunguza humu ?
Mafumbo yamezidi
Vitu viwekwe wazi
Kuchunguza hapa kutanisaidia nini?
 
.wakati tumenawa mikono tukisubiri huo ubwabwa ambao tumeambiwa tu upo.kule jikoni kuna mafundi wanajenga.yaani hamna dalili kama kumepikwa kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1238724
Hiyo siginecha sasa!!

Jamani tuoneeni huruma tunaorimia kwa meno badala ya power tiller.
 
Nabii nani unaitwa... maana nami nataka unitabirie nakupataje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom