Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Akiliyo ina unyafuzi!
Yaani mtu atuzuie kufikiri?!
Hakuna aliyekuzuia ndugu, ila naona wewe ndo unataka kunizuia kufikiri!

Mimi nafikiri hivi, safari hii Jamiiforums wakipona basi watu waache kulalamika eti hakuna uhuru wa kutoa maoni yao! Au wewe unataki nifikiri unavyofikiri wewe!?!? Hiyo haiwezekani! Kila mtu ana namna yake ya kufikiri
 
Hakukosea ilikuwa hivyo kabla ya matatizo. Ilipotokea matatizo ndo wamebadili.
Kumbuka Ratiba za Rais huandaliwa miezi mingi kabla
Kwani Kuna matatizo ?

(Msigwa hajawahi kutuangusha)
 
Kwani umeambiwa kuwa kiongozi anaumwa?
 
Ukiona mtu anazusha jua ni mwendawazimu
 
Acha ujinga mkuu sio kula MTU anataka uteuzi wengine ni maskini tu wasio na kitu chochote Tanzania ni yetu sote raisi kachaguliwa na wananchi nyie mnao mtakia mabaya raisi wetu subilini tu moto unakolezwa tens naona ni wapumbavu tu wanao shabikia ujinga huu
 
Kwanini watu mnaombea mabaya, mmeng'ang'ania kuweka ibara kuonesha rais ana matatizo, stop confusing us.
Unajua hamna watu wabaya kama wale wanaokuzunguka wale ndo kikwamisho namba moja na maadui namba 1.
##Viva magufuli mungu akupe afya njema
 
Dunia haijawahi acha kuwafunza watu wakaidi ,"asiyefunzwa na ***** kuishi na watu atafunzwa na dunia"Karma is a bitch,apandacho mtu ndicho atakachovuna.Machozi ya wengi Mungu atayafuta.
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…