Hakuna aliyekuzuia ndugu, ila naona wewe ndo unataka kunizuia kufikiri!Akiliyo ina unyafuzi!
Yaani mtu atuzuie kufikiri?!
Mimi nafikiri hivi, safari hii Jamiiforums wakipona basi watu waache kulalamika eti hakuna uhuru wa kutoa maoni yao! Au wewe unataki nifikiri unavyofikiri wewe!?!? Hiyo haiwezekani! Kila mtu ana namna yake ya kufikiri