Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Akiliyo ina unyafuzi!
Yaani mtu atuzuie kufikiri?!
Hakuna aliyekuzuia ndugu, ila naona wewe ndo unataka kunizuia kufikiri!

Mimi nafikiri hivi, safari hii Jamiiforums wakipona basi watu waache kulalamika eti hakuna uhuru wa kutoa maoni yao! Au wewe unataki nifikiri unavyofikiri wewe!?!? Hiyo haiwezekani! Kila mtu ana namna yake ya kufikiri
 
Hakukosea ilikuwa hivyo kabla ya matatizo. Ilipotokea matatizo ndo wamebadili.
Kumbuka Ratiba za Rais huandaliwa miezi mingi kabla
Kwani Kuna matatizo ?

(Msigwa hajawahi kutuangusha)
 
Get well soon Mheshimiwa Rais. Tunakuombea na kuiombea nchi yetu. Sote binadamu tu wakosefu. Na mbora wetu ni yule anaemuogopa Mungu, kumuomba msamaha na kueneza upendo. Kwa amani na salama ya nchi yetu, eeh Mola Tujaalie kila lenye kheri nasi na ondosha lenye shari kwa nchi yetu. Mpe Rais wetu ponyo, busara na weledi wa kutuongoza bila ya matabaka.
Kwani umeambiwa kuwa kiongozi anaumwa?
 
Kuna mzee mmoja namheshimu sana anasema dalili za awali za mtu kuugua ule ugonjwa wa kupelekwa Dodoma ni eitha kuwa mpole kupita kiasi na kujitenga au MTU kuwa mkali sana na kutukana hadharani au hata jukwaani msivyotegemea.
Sasa kikipanda ni kumtia kamba na kumpa madawa wakati mwingine ya kulala usingizi siku mbili nzima.
Huyu mzee anasema MTU huyo akizinduka basi atajulikana apelekwe Dodoma au atangazwe "huyu sasa basi dish limecheza"
Mimi nilimuelewa wewe jee?
Ukiona mtu anazusha jua ni mwendawazimu
 
Mataga ni kundi la vijana wajinga wajinga wanaofikiri kwa kutumia tumbo, wako tayari kulamba miguu hadi matako ya watawala ili wapate uteuzi.

Wao kwenye kila kitu huona kizuri tu na hata palipo na wizi, uporaji, unyasasaji, na uonevu wao mtesi huwa wanamwita mzalendo.

Kimsingi ni kundi la wajinga na wapumbavu.
Acha ujinga mkuu sio kula MTU anataka uteuzi wengine ni maskini tu wasio na kitu chochote Tanzania ni yetu sote raisi kachaguliwa na wananchi nyie mnao mtakia mabaya raisi wetu subilini tu moto unakolezwa tens naona ni wapumbavu tu wanao shabikia ujinga huu
 
Kwanini watu mnaombea mabaya, mmeng'ang'ania kuweka ibara kuonesha rais ana matatizo, stop confusing us.
Unajua hamna watu wabaya kama wale wanaokuzunguka wale ndo kikwamisho namba moja na maadui namba 1.
##Viva magufuli mungu akupe afya njema
 
Dunia haijawahi acha kuwafunza watu wakaidi ,"asiyefunzwa na ***** kuishi na watu atafunzwa na dunia"Karma is a bitch,apandacho mtu ndicho atakachovuna.Machozi ya wengi Mungu atayafuta.
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom