Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Anamaanisha nini huyu ndugu na haya mafumbo yake, hata Zitto nae simwelewi leo kapost picha ya mama Samia, sijui hata
View attachment 1237148
Mamaaaa mamaaaa mamaaaaa ! Mamaaaa huyo mamaaaaa mamaaa huyooo mamaaa huyooo! Nyambafuuuu - haya isiraeli maliza kazi tujimwage majiani sasa kushangilia kama Diatta kafuga goli yaani

Yaani katika topic nilimuelewaga sana mwalimu wangu wa biology mama Matimbwa pale Mkwawa ni jinsi hii kitu inafanya kazi. Basi tu sikuwa dokta

Najisikia raha sana kusoma ibara ya 37(5) ya katibu yetu tukufu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Najimwambafai sanaaaa yaani kuisoma - eeeh Mungu wa Isaka na Yakobo na iwe kama mapenzi yako yatakavyo..

View attachment 1237738
Very happy taarifa ndizo inatakiwa asubuhi hii
 
Tulipokuwa tukilalamika mkulu kabinya vyombo vya habari hamkuelewa the outcome! Ndio maana leo unaona hakuna ata media moja inayoweza thubutu kusema ukweli.
Wote kimya ndio muone faida ya uhuru wa habari sasa Rais wenu yupo kitandani lakini walipa kodi hamna haki ya kujua.
Yupo kitandani anafanya nini?
 
Yes of course. For your information the problem is not new. By the way he has Bradycardia too,but this has been solved since. I think the way he reacts to those publics servants who fails to do their jobs,brings -ve effects to his heart.
He should change his life style for sure
umeandika vema, he should change his life style!

Bradycardia
Overview
Bradycardia is a slower than normal heart rate. The hearts of adults at rest usually beat between 60 and 100 times a minute. If you have bradycardia (brad-e-KAHR-dee-uh), your heart beats fewer than 60 times a minute.
Bradycardia can be a serious problem if the heart doesn't pump enough oxygen-rich blood to the body. For some people, however, bradycardia doesn't cause symptoms or complications.

An implanted pacemaker can correct bradycardia and help your heart maintain an appropriate rate
 
We umejuaje kama yupo kitandani.
Unapenda kuamini Udaku udaku wakipuuzi..
Na si kila kitu lazima kijibiwe na upuuzi..
NTW ni maoni yako na sipaswi kuyapinga..
But vyombo vya habari vipo vingi,Je BBC hawajapata hii habari!?
DW pia!?
CNN je!?
Ooh hivyo vyote ni vya Tanzania!?
 
Kwanini wanaficha kama ni kweli anaumwa? Mi nadhani tusubiri kama ni kweli itajulikana tu hakuna siri lakini pia si vizuri kumuombea kifo binadamu mwenzio.japo simpendi kwa baadhi ya matendo yake.
 
umeandika vema, he should change his life style!

Bradycardia
Overview
Bradycardia is a slower than normal heart rate. The hearts of adults at rest usually beat between 60 and 100 times a minute. If you have bradycardia (brad-e-KAHR-dee-uh), your heart beats fewer than 60 times a minute.
Bradycardia can be a serious problem if the heart doesn't pump enough oxygen-rich blood to the body. For some people, however, bradycardia doesn't cause symptoms or complications.

An implanted pacemaker can correct bradycardia and help your heart maintain an appropriate rate
Ndo umekuwa bingwa wa kutafuta details. Nshomile bwana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom