perfect, tuombe iwe hivyo! Inshallah!Kila alipo kiongozi wa nchi Pana Hospital hata Iwe sigimbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
perfect, tuombe iwe hivyo! Inshallah!Kila alipo kiongozi wa nchi Pana Hospital hata Iwe sigimbi
Pole sana albertNitashukuru sana endapo jamii forum watachukuliwa kwa kuruhu taarifa za uzushi kuendelea kuwaumiza watu,kiukweli taarifa hii imeniumiza sana na tena hali yangu kwa sasa inaelekea kupandisha presha ,get well soon Mr president
Katika maisha ogopa sana watu wasiozungumza watakumaliza kimyakimya heri ya wakenya wanazungumza hakuna watu wabaya wa chini chini na wakimya kama wa tz chunga sana awazungumzii lkn wamebeba sumu Kali hatariTumeshuhudia Watanzania kwa wingi wao wamesusia kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na sasa watu wanaonyesha chuki zao kali kuhusu mtanziko huu uliopo sasa! Sumu ( venom) ni kali sana. Kama Taifa tumekosea wapi?!
Kama Mungu ni Athumani atarudiNinauhakika mshikaji akirudi WATU WENGI SANA WATAPOTEA.
Wale wote waliokuwa wakifurahia alipokuwa akiumwa watakiona cha MTEMA KUNI.
Maaana UKATILI na ROHO MBAYA yake itaongezeka mara DUFU.
Wee ngoja uone.
Ndo chanzo cha tatzo au nnYa ziarani kusini
Ni heart attack?Facilities at their disposal to handle such an emergency is my concern! Are they equipped with medical vifaa to handle such a complicated case, IN TANZANIA? this is my worry!
Yes of course. For your information the problem is not new. By the way he has Bradycardia too,but this has been solved since. I think the way he reacts to those publics servants who fails to do their jobs,brings -ve effects to his heart.Facilities at their disposal to handle such an emergency is my concern! Are they equipped with medical vifaa to handle such a complicated case, IN TANZANIA? this is my worry!
victoire kaandika hivyo nami nikamjibu, sijui chochote pleaseNi heart attack?
Serikali ya CCM inahitaji kura zenu tu sio maombi yenu.Ila ilipaswa ikulu itangaze/itoe taarifa ili wananchi wameweke kwenye maombi kila mtu na Imani yake lakini sio kuficha maradhi maana likitokea la kutokea..., WATAUMBUKA.
Mbona kaposti kitu cha kawaida tu jamani..hebu tujaribu kupunguza taharuki jamaniMsigwa kuna kitu kule kapost nimepata wasiwasi
Hata uwe na ulinzi kiasi gani muda ukifika utakufa tu.Kadri tetesi zinavozidi kuenezwa na radio mbao Ni wazi kuwa huko tuendako ulinzi wa anayeitwa Rais wa nchi utaimairishwa ajabu...
Ndiyo... Juhudi kubwa zitaongezwa kuimarisha ulinzi wa huyo Rais - karibu yake, around him, katikati ya kadamnasi. Juu na angani.... Wanaoonekana na wasioonekana.... Wanaojulikana na Wasiojulikana..
Like we never experienced before...
Na hatua hiyo itathibitisha kuwa tetesi zile za radio mbao zilikuwa zaidi ya tetesi..!
#FuturePost