Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Nitashukuru sana endapo jamii forum watachukuliwa kwa kuruhu taarifa za uzushi kuendelea kuwaumiza watu,kiukweli taarifa hii imeniumiza sana na tena hali yangu kwa sasa inaelekea kupandisha presha ,get well soon Mr president
Pole sana albert
 
Tumeshuhudia Watanzania kwa wingi wao wamesusia kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na sasa watu wanaonyesha chuki zao kali kuhusu mtanziko huu uliopo sasa! Sumu ( venom) ni kali sana. Kama Taifa tumekosea wapi?!
Katika maisha ogopa sana watu wasiozungumza watakumaliza kimyakimya heri ya wakenya wanazungumza hakuna watu wabaya wa chini chini na wakimya kama wa tz chunga sana awazungumzii lkn wamebeba sumu Kali hatari
 
Ninauhakika mshikaji akirudi WATU WENGI SANA WATAPOTEA.

Wale wote waliokuwa wakifurahia alipokuwa akiumwa watakiona cha MTEMA KUNI.

Maaana UKATILI na ROHO MBAYA yake itaongezeka mara DUFU.

Wee ngoja uone.
Kama Mungu ni Athumani atarudi
 
Ila ilipaswa ikulu itangaze/itoe taarifa ili wananchi wenye mapenzi mema naye wamuweke kwenye maombi kulingana na Imani ya kila mtu na sio kuficha habari za maradhi maana likitokea la kutokea..., WATAUMBUKA.
 
Facilities at their disposal to handle such an emergency is my concern! Are they equipped with medical vifaa to handle such a complicated case, IN TANZANIA? this is my worry!
Ni heart attack?
 
Facilities at their disposal to handle such an emergency is my concern! Are they equipped with medical vifaa to handle such a complicated case, IN TANZANIA? this is my worry!
Yes of course. For your information the problem is not new. By the way he has Bradycardia too,but this has been solved since. I think the way he reacts to those publics servants who fails to do their jobs,brings -ve effects to his heart.
He should change his life style for sure
 
Hivi Mzee Alivyopata Mshtuko Wa Moyo Kabla Hajakimbizwa Ujerumani Alipitia Kwanza Muhimbili Ili Apate Kibali Cha Kutibiwa Nje Ya Nchi Kwa Fedha Za Umma? Au Huo 'Utaratibu' Wa Kibali Cha Muhimbili Ulikua Kwa Tundu Lissu Tu? Wengine Hauwahusu?

Walichomfanyia tundu lissu mpaka kumpora ubunge aisee ulikua ni ukatili mkubwa sana

Lakini sikuona kiongozi yeyote wa ccm anamtetea hadharani

Mi kama Mzalendo, sio Mzalendo Mambo Leo naendelea kuiombea nchi na Rais.

Hayati Baba wa Taifa Mzee Nyerere alisema kweli alikokuwa amelazwa na tukawa tunamwombea kwa amani tu sasa kama Rais Magufuli anaumwa huko aliko si mseme tu anaumwa nini na ameanza lini kuumwa maana ni mwanafamilia mwenzetu wa Tanzania na sio vinginevyo.
 
Tulipokuwa tukilalamika Mkulu kabinya vyombo vya habari hamkuelewa the outcome! Ndio maana leo unaona hakuna ata media moja inayoweza thubutu kusema ukweli.
Wote kimya ndio muone faida ya uhuru wa habari sasa Rais wenu yupo kitandani lakini walipa kodi hamna haki ya kujua.
 
Kadri tetesi zinavozidi kuenezwa na radio mbao Ni wazi kuwa huko tuendako ulinzi wa anayeitwa Rais wa nchi utaimairishwa ajabu...

Ndiyo... Juhudi kubwa zitaongezwa kuimarisha ulinzi wa huyo Rais - karibu yake, around him, katikati ya kadamnasi. Juu na angani.... Wanaoonekana na wasioonekana.... Wanaojulikana na Wasiojulikana..
Like we never experienced before...

Na hatua hiyo itathibitisha kuwa tetesi zile za radio mbao zilikuwa zaidi ya tetesi..!

#FuturePost
Hata uwe na ulinzi kiasi gani muda ukifika utakufa tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom