Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
naunga Mkono hoja
 
*Wapiga madili

*Wapinzani

*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4

*Waliotumbuliwa

*Vyeti feki

*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka

Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?

Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.
 
 
amepumzika wapi
 
BBC, CNN,DW na kadhalika wanategemea reporter wao wakazi. Jee unadhani kuna reporter atachungulia na kuwa huru kusemea? Bado maana ya kukosa Uhuru iko palepale
 
*Wapiga madili

*Wapinzani

*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4

*Waliotumbuliwa

*Vyeti feki

*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka

Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?

Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.
 
Mkuu, hii Roho Mbaya na Ukatili Juu ya Binadamu Wenzake ndicho kimetufikisha hapa Kumuona kama hana Utu!
Mara ya Mwisho tu anafukuza watu bila kujua ana tatizo gani kwa kutohudhuria Kwenye Mkutano wake, anamtukana Injinia yule, sikuona hata sababu ya Kumtukana.
Mbaya zaidi yuko biased na wakina Bashite. Matendo yake ndiyo yanamfuata hivyo. Anawachukia saana Watumishi wa Umma,
Manung'uniko yao huenda ndiyo muda yanafanyiwa Kazi, Muweza wa Yote amewasikia hakika ameamua Kuwajibu kihivyo. Jitafakarini, hii Nchi siyo ya Ukoo ni yetu sote.
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…