Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapinzani wachache mkuu, wapinzani wengi hawajazungumza chochochote kuhusu hili. Lakini hata hivyo wana wajibu wa kufundishana na kuonyana kuhusu kipi cha kusema ama kuandika mtandaoni kwenye nyakati kama hizi.Wamefanya kosa kubwa sana, wametake risk kubwa sana ambayo isipokuwa kama watakavyo itawagharimu sana
Hawajui lolote kuhusu siasa and yet wanataka kuongoza
Unathubutuje?? Kamari walio cheza sasa hiv ni kubwa kuliko kamali ya kumsimamisha Lowasa
Matokeo yakiwa ndivyo sivyo
1)watajulikana nia yao ovu
2)watapoteza credibility ya kuwa wanazushaga tu mambo
Matokeo yakiwa has kwa taifa
Watabeba lawama kuwa walihusika moja kwa moja, itakuwa ngumu kwa jamii kutoamini kuhusika kwao
Usioneshe chuki yako waziwazi ni kosa kubwa sana kisiasa
Saa nyingine nawaza hawa watu kama kweli zimo timamu, ni heri vyama vyote vya upinzani vifutwe na vianzishwe vipya na hawa waliopo wapigwe ban kuviongoza
He is among the 6%. Don't underestimate the power of prayer, especially from the people he has uplifted through his dedication to serve the public.Cardiac survival rates around 6 percent for those occurring outside of a hospital
Ni wapinzani wachache mkuu, wapinzani wengi hawajazungumza chochochote kuhusu hili. Lakini hata hivyo wana wajibu wa kufundishana na kuonyana kuhusu kipi cha kusema ama kuandika mtandaoni kwenye nyakati kama hizi.
Kaaaaa hapo hadi ya pili nakutumia ya madafuNimewahi St. Peters misa ya kwanza hajatokea nasubiria hapa nje labda ya pili ataingia.
why not, inawezekana akawa ndani ya hiyo 6% kama kweli kuna tatizo hilo maana hizi ni speculations!He is among the 6%. Don't underestimate the power of prayer, especially from the people he has uplifted through his dedication to serve the public.
Wacha maneno weka muzikiKama mnasubiri avute basi naomba kuwa taarifu Milango yakuzimu kamwe haitomuweza Rais wa jamuhuri Ya muungano wa Tanzania.
Atatikiswa ila hawawezi kuigusa roho yake. Nikweli nimkali ila ni kiongoz shupavu alie na maono ya kweli kwa taifa letu.
Chuki na hasira sio za wananchi ila kundi lawapumbavu na n vilaza fulani. Ndugu zangu kama vile jina lilivyopita ndivyo usalama wake utakuwa naye. Wanyonge wengi sana wamepata haki zao utawala huu na sishangai chuki hii nikwa kaz nzuri anafanya.
Rais amkuwa na ratiba ambayo sio yakawaida nauwenda imemchosha. Kiufupi uwenda sasa atafuwata ratiba nakupunguza kazi. Pia ningeshauri wafanyakaz wa Ikulu wampeleke watoto acheze nao huwa ni wazuri sana kupunguza stress.
Naiman baada ya mapumziko rais wetu atarud kulitumikia taifa lake.
Mungu ibariki tanzania na watu wake na Viongoz wake. Amen
umri umesogea hata angekuwa fiti asingeliwezaKama yuko fit apige pushapu tano kwanza ndo tuamini
Kikwete yupo nigeriaWadau mnajua walipo Marais hawa wastaafu wawili na muda huu mjadala wao moto unahusu nini?
Ipo CCM MkuuMilango ya kuzimu uliwahi kuiona?
View attachment 1238977
Mungu msaidie mama Samia Suluhu atuongoze kwa Busara
uwe unasoma Uzi kwanza kisha. Una comments kwanini unakurupukaAnaumwa nin