Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Wamefanya kosa kubwa sana, wametake risk kubwa sana ambayo isipokuwa kama watakavyo itawagharimu sana

Hawajui lolote kuhusu siasa and yet wanataka kuongoza

Unathubutuje?? Kamari walio cheza sasa hiv ni kubwa kuliko kamali ya kumsimamisha Lowasa

Matokeo yakiwa ndivyo sivyo

1)watajulikana nia yao ovu
2)watapoteza credibility ya kuwa wanazushaga tu mambo

Matokeo yakiwa has kwa taifa

Watabeba lawama kuwa walihusika moja kwa moja, itakuwa ngumu kwa jamii kutoamini kuhusika kwao

Usioneshe chuki yako waziwazi ni kosa kubwa sana kisiasa

Saa nyingine nawaza hawa watu kama kweli zimo timamu, ni heri vyama vyote vya upinzani vifutwe na vianzishwe vipya na hawa waliopo wapigwe ban kuviongoza
Ni wapinzani wachache mkuu, wapinzani wengi hawajazungumza chochochote kuhusu hili. Lakini hata hivyo wana wajibu wa kufundishana na kuonyana kuhusu kipi cha kusema ama kuandika mtandaoni kwenye nyakati kama hizi.
 
Cardiac survival rates around 6 percent for those occurring outside of a hospital
He is among the 6%. Don't underestimate the power of prayer, especially from the people he has uplifted through his dedication to serve the public.
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
Ni wapinzani wachache mkuu, wapinzani wengi hawajazungumza chochochote kuhusu hili. Lakini hata hivyo wana wajibu wa kufundishana na kuonyana kuhusu kipi cha kusema ama kuandika mtandaoni kwenye nyakati kama hizi.
 
He is among the 6%. Don't underestimate the power of prayer, especially from the people he has uplifted through his dedication to serve the public.
why not, inawezekana akawa ndani ya hiyo 6% kama kweli kuna tatizo hilo maana hizi ni speculations!
 
Kama mnasubiri avute basi naomba kuwa taarifu Milango yakuzimu kamwe haitomuweza Rais wa jamuhuri Ya muungano wa Tanzania.

Atatikiswa ila hawawezi kuigusa roho yake. Nikweli nimkali ila ni kiongoz shupavu alie na maono ya kweli kwa taifa letu.
Chuki na hasira sio za wananchi ila kundi lawapumbavu na n vilaza fulani. Ndugu zangu kama vile jina lilivyopita ndivyo usalama wake utakuwa naye. Wanyonge wengi sana wamepata haki zao utawala huu na sishangai chuki hii nikwa kaz nzuri anafanya.

Rais amkuwa na ratiba ambayo sio yakawaida nauwenda imemchosha. Kiufupi uwenda sasa atafuwata ratiba nakupunguza kazi. Pia ningeshauri wafanyakaz wa Ikulu wampeleke watoto acheze nao huwa ni wazuri sana kupunguza stress.

Naiman baada ya mapumziko rais wetu atarud kulitumikia taifa lake.
Mungu ibariki tanzania na watu wake na Viongoz wake. Amen
Wacha maneno weka muziki
 
1.jpg

Mungu msaidie mama Samia Suluhu atuongoze kwa Busara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom