Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Tuishi kwa Amani bila hofu ya Wasiojulikana
kabisa mkuu wangu..tuishi kwa amani jamani..ephewww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuishi kwa Amani bila hofu ya Wasiojulikana
aliye kuletea wewe nani??Usituletee habari za kudhani.
Korosho unizulumu halafu uje kunisanifu.
Ukiwa kiongozi wa Upinzani ambaye unataka support ya watu, public inatakiwa ikuone wewe una busara kuliko hao unawowapinga.Ni hivi, unavyoishi na watu ndivyo utakavyopata mrejesho pindi ukipata tatizo. Haya yanayoendelea ni mrejesho wa hali halisi. Ukiweza weka jinsi Lissu alivyofanyiwa ubinadamu na serikali hii.
St Peter, DarRais Magufuli kasali wapi leo?
hakika anahitaji maombi*Wapiga madili
*Wapinzani
*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4
*Waliotumbuliwa
*Vyeti feki
*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka
Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?
Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.
Ni siku ya tatu leo kumekuwa na taarifa zinazotolewa na baadhi ya watuamiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu afya ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania alipokuwa ktk ziara mikoa ya kusini.
Na wengine kufika mbali kabisa kwa kuzusha kabisa taarifa za kifo kitu ambacho baadhi ya wapinzani wa kasi ya awamu ya tano wamekuwa wakifurahi na kushangilia katika mitandao na kuleta taharuki majumbani na mitaani kiasi watu wengi kuuliza Nini kinaendelea.
Taarifa hizi zimekuwa zikitolewa na watz ndani na nje ya nchi wakati Ikulu haijatoa taarifa yoyote kuhusu kuwa Rais ni mgonjwa.
Nadhani tuna sheria na kanuni kuhusu kutoa taarifa hasa zinazohusu usalama wa nchi Sasa hawa wanaotoa taarifa za kuzusha tu toka katika chanzo ambacho hakijulikani na kuleta taharuki wanatakiwa kufanywa Nini na mamlaka husika kisheria.
Nadhani mamlaka husika Kuna haja ya kutoa mtu mmoja kama mfano ili liwe fundisho kwa wengine wenye nia kama hii.
Ukisoma mitandao ya kijamii ndiyo utajua Nini kinasambazwa na kuleta maneno chini kwa chini na taharuki mpaka makanisani watumishi wameanza maombi ya kukemea kinachoendelea.
Kama huna taarifa acha kuzusha taarifa na kama una taarifa sahihi basi jitoe muhanga kwa kutoa taarifa kamili inayoeleweka sio kutoa taarifa za kuwachanganya watz.
Watz wengi wanaelewa sana nia mbaya za watu kwa serikali hi na kama ndiyo kutafuta mtaji wa kura ktk uchaguzi wa November basi hapo mmepata zero kabisa.
Watu wa Cyber happy mna kazi ya kufanya kuondoa uchafu kama huu katika nchi yetu.
Ni muhimu kuwa na taarifa za kweli kuliko uzushi.....tena wakome wote wenye nia mbovu na Serikali.
Wanapaswa waanze kukukamata wewe kwani uzi wako ni mwendelezo wa hizi taarifa ambazo sio rasmi.Ni siku ya tatu leo kumekuwa na taarifa zinazotolewa na baadhi ya watuamiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu afya ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania alipokuwa ktk ziara mikoa ya kusini.
Na wengine kufika mbali kabisa kwa kuzusha kabisa taarifa za kifo kitu ambacho baadhi ya wapinzani wa kasi ya awamu ya tano wamekuwa wakifurahi na kushangilia katika mitandao na kuleta taharuki majumbani na mitaani kiasi watu wengi kuuliza Nini kinaendelea.
Taarifa hizi zimekuwa zikitolewa na watz ndani na nje ya nchi wakati Ikulu haijatoa taarifa yoyote kuhusu kuwa Rais ni mgonjwa.
Nadhani tuna sheria na kanuni kuhusu kutoa taarifa hasa zinazohusu usalama wa nchi Sasa hawa wanaotoa taarifa za kuzusha tu toka katika chanzo ambacho hakijulikani na kuleta taharuki wanatakiwa kufanywa Nini na mamlaka husika kisheria.
Nadhani mamlaka husika Kuna haja ya kutoa mtu mmoja kama mfano ili liwe fundisho kwa wengine wenye nia kama hii.
Ukisoma mitandao ya kijamii ndiyo utajua Nini kinasambazwa na kuleta maneno chini kwa chini na taharuki mpaka makanisani watumishi wameanza maombi ya kukemea kinachoendelea.
Kama huna taarifa acha kuzusha taarifa na kama una taarifa sahihi basi jitoe muhanga kwa kutoa taarifa kamili inayoeleweka sio kutoa taarifa za kuwachanganya watz.
Watz wengi wanaelewa sana nia mbaya za watu kwa serikali hi na kama ndiyo kutafuta mtaji wa kura ktk uchaguzi wa November basi hapo mmepata zero kabisa.
Watu wa Cyber happy mna kazi ya kufanya kuondoa uchafu kama huu katika nchi yetu.
Ni muhimu kuwa na taarifa za kweli kuliko uzushi.....tena wakome wote wenye nia mbovu na Serikali.
Sio kila mzungu ni beberu....Mabeberu kumbe wana msaada.
Kaenda liniKikwete yupo nigeria
Ansbert Ngurumo,Evarist Chahali,Zitto Kabwe,anayejiita Kigogo2014,Anayejiita Mcomoro no unataka Nani mwingineWewe ndo mtu WA Kwanzaa unaetakiwa ukamatwe usaidie polisi.
Ili uwaoneshe hao wanaosambaza hizo habari
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.
Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.
Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.
Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.
Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Uko sahihi sana,hapo bado kuna mabeberu na vibaraka wao...*Wapiga madili
*Wapinzani
*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4
*Waliotumbuliwa
*Vyeti feki
*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka
Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?
Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.
Habari feki inapingwa, kwa credible source kutoa taarifa ya kweli.
Habari ya ukweli ingewekwa wazi, hizi tetesi kama ni za uongo zingejifia kimyakimya.
Jana rais kateua wakurugenzi,ukimya uko wapi!!?mimi nashangaa kwanini mmlaka zipo kimya hadi uzushi huu unazidi kusambaa
Hao waliozusha watuambie yuko wapi maana ndiyo wanajifanya kuzijua sana taarifa za Mh Rais.Naona umeishia kusema ni uzushi tu bila wewe kuthibitisha huo uzushi!
...kama yupo swafi nadhani huu uzushi ameupata, basi ajitokeze ili aondoe hizo sintofahamu tena atoe na onyo kali kisha aamuru hao walizushia wakamatwe!
Au la sivyo tuambie yu wapi, kwa nini alikatisha ziara ghafla bila taarifa rasmi kutolewa??
Uhuru was habari in moyo was demokrasia na maendleleoTulipokuwa tukilalamika Mkulu kabinya vyombo vya habari hamkuelewa the outcome! Ndio maana leo unaona hakuna ata media moja inayoweza thubutu kusema ukweli.
Wote kimya ndio muone faida ya uhuru wa habari sasa Rais wenu yupo kitandani lakini walipa kodi hamna haki ya kujua.