Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kwanini?Wabongo wamemkalia kooni mzee Meko!
Nimepita maeneo ya hapa ferry naona vijana wa Lumumba wanafunga maturubaiSawa mkuu ila unaongeza taharuki
Ushashindwa ww...Tunasubiri siku ya kumpokea Tundu Lissu Airport bila mawaa wala mikwaruzo.
MtupuUpupu
Mkuu All is going to be well' Pole sana kwa yanayoendelea. Yatapita.
Kama sio jirani namuombea umauti umfike mapemaJe kama sio jirani yako!
Hahahaha!!!!!!!Milango ya kuzimu uliwahi kuiona?
Eti anamualiko ujerumani.. 😂😂😂😂😂Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.
Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.
Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.
Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.
Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.
Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..