Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
mimi nashangaa kwanini mmlaka zipo kimya hadi uzushi huu unazidi kusambaa
Sio Kila uzushi ni wa kujibu....wahusika wasakwe popote pale hata kama chini ya uvungu wa vitanda vyao wakamatwe na kushikishwa adabu ndiyo dawa yao....hatuwezi kuwa taifa la kuzusha zusha tu habari.
 
Mkuu umesahau kauli za msukuma, Musiba na kibajaji kipindi Lissu kapigwa risasi?
So Wapinzani wakifanya walichofanya akina Musiba na Msukuma, jamii itakuwa inawaona wao ni waeneza chuki na wajinga tu kama inavyowaona akina Musiba na Msukuma
Wapinzani ndio wanatakiwa public iwe upande wao, sasa ukifanya upuuzi ambao ni extreme kama huu wa kushangilia kifo cha Rais wa nchi, unajimaliza mwenyewe ndugu
 
Lisemwalo lipo mkuu!!
 
Ni nani walidhulumu haki za wanyonge?
 
*Wapiga madili

*Wapinzani

*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4

*Waliotumbuliwa

*Vyeti feki

*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka

Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?

Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.
 
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.

Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.

Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.

Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.

Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.

Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
 
Usituletee habari za kudhani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…