Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Wewe sema tu kuwa hujui chochote, tuendelee kumuongea rais wetu, watanzania tutulie na tuendelee na maisha yetu ya kila siku.

Mambo mengine tuwaachie wengine waendelee kuongea, maana wahusika halisi wanaogopa kusema chochote.
 
Watanzania wenzangu tumefika pabaya kwa haya yanayoendelea mpaka tunawaombea mabaya viongozi wetu sio utamaduni wetu.
 
Eti anamualiko ujerumani.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alisema yupo vitani vita ya kiuchumi alikuwa anatembea na uzio was chuma akienda kuongea na wanyonge
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…