Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Huyu Mzee kumbe watu wengi hawampendi! Yaani wanaombea achomoke aiseee! Naye amezidi, wewe una betri kwenye moyo bado unajipa mapressure ya kijinga, shauri yake bwana!
Wamchukie Nyerere?
 
Ningekuwa moderator ninge delete hii post, ila ndo hivyo tena.... ngoja tuendelee kusoma akili za wabongo
 
Mkuu funguka zaidi...
 
Heko.Chukua kahawa na kashata hapo ulipo.pesa nakuja kulipa
Kuna muda inabidi ujilazimishe kupitia humu ili kuondoa msongo wa mawazo yaliyosababishwa na awamu hii.
Ila siku huu mkeka tunaocheza vichwani ukitiki tutalala nje sio kuomboleza ila kukenua.
 
Huyu Mzee kumbe watu wengi hawampendi! Yaani wanaombea achomoke aiseee! Naye amezidi, wewe una betri kwenye moyo bado unajipa mapressure ya kijinga, shauri yake bwana!
Hizo story za betri mlidanganywa na nani ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…