Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Huyu Mzee kumbe watu wengi hawampendi! Yaani wanaombea achomoke aiseee! Naye amezidi, wewe una betri kwenye moyo bado unajipa mapressure ya kijinga, shauri yake bwana!Namba gani mkuu ⚰⚰⚰🤣🤣 au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mzee kumbe watu wengi hawampendi! Yaani wanaombea achomoke aiseee! Naye amezidi, wewe una betri kwenye moyo bado unajipa mapressure ya kijinga, shauri yake bwana!Namba gani mkuu ⚰⚰⚰🤣🤣 au?
Tujuze kidogoKuna mazito yanaendelea yanatisha mzee
Hayaelezeki elewa hivyo
Hana data zozote anazingua huyoTujuze kidogo
Wamchukie Nyerere?Huyu Mzee kumbe watu wengi hawampendi! Yaani wanaombea achomoke aiseee! Naye amezidi, wewe una betri kwenye moyo bado unajipa mapressure ya kijinga, shauri yake bwana!
Huyu ndiye kachaguliwa juzi bawacha sijui Temeke?!Kwani kuna habari gani huko?View attachment 1237381
Usisahau kuniambia kitakachotokeaKuna mpango unapikwa hukoo jikonii
Labda hauijui rwanda mkuuShould we stick in the past forever ? Rwanda didnt chose that path and made it
Mkuu funguka zaidi...Yaani kuna watu ni wapumbavu sana. Kwani kuna mtu ataishi milele? Siku za kuishi binadamu zinahesabika na hesabu yake ni ya tarakimu mbili tu. Awe Magufuli, uwe wewe zitto, na huyu pacha wako kigogo wote nyie ni tarakimu mbili tu. Kwanza wewe na pacha wako wote mnaishi kwa matumaini. Usitake tuongee hata kule unakochukulia vidonge. Acheni chuki za kijinga.
Sijamtaja MTU lakinihafi mtu hapa
hujajibu swali!!!Kama una ushahidi peleka kituo cha polisi kilicho karibu nawe.
ndo maana ake,afe tu huyu tahira,afe kabisaaaIla yakifanywa na upande ule mwingine tuenjoy tu siyo ?
Na anawagonga vilivyoHuyo kigogo kajua kuwashika akili
Mti wenye matunda...kushabikia uvumi huu ni kukosa utu, mnashindwa kabisa kuyaona mema yakeAlikuwa anatusumbua sana TBC...
kila saa live.. live .. yuko wapi sasa
Tuombee taifa letu
Kuna muda inabidi ujilazimishe kupitia humu ili kuondoa msongo wa mawazo yaliyosababishwa na awamu hii.
Ila siku huu mkeka tunaocheza vichwani ukitiki tutalala nje sio kuomboleza ila kukenua.
Hizo story za betri mlidanganywa na nani ?Huyu Mzee kumbe watu wengi hawampendi! Yaani wanaombea achomoke aiseee! Naye amezidi, wewe una betri kwenye moyo bado unajipa mapressure ya kijinga, shauri yake bwana!