Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
nimependa comment yako mkuu
 
Nenda katafute taarifa zake kwa hao waliozusha ...siku akipanga kuonekana hadharani ataonekana lakini si kwa matakwa ya mitandao au mtu mmoja
 
Wala hilo halina shida....Sasa wewe unatafuta taarifa gani za Rais...nenda kwa hao wazushaji watakuambia undani wake....Serikali iko kazini Wala msilete hofu kwa wengine
 
Mleta uzi kaja hapa kuonesha panic na vitisho. Watu watanyamaza kwasababu mbili tu;
1. Wenye mamlaka wakikanusha hii habari
2. Bundle na chaji zikikata
SIO kwasababu eti wewe umesema
 

Unaona liganga hili?

Ganga la makopo kabisa!

Nani kakwambia as we speak nipo USA?

Na kwenda au kukaa USA ndio sina haki yangu ya Utanzania?

Mimi kutompenda huyo bwana wako ni haki yangu,na wewe kumpenda ni haki yako!

Na uganga wako wa kipumbavu wa kudhani wote walio US au diaspora ni wajinga ni upumbavu wenyewe!

Plus,kila mtu ana haki ya kua mjinga au mwerevu au bure jinsi anavyotaka wether yupo
TZ au US au popote pale!

Wewe kwa ubongo wako wa matope umeniona mimi ni mpumbavu ni sawa na mimi nakuona mavi kwa ubongo wangu binafsi,haki sawa!

Umeumia mimi kumchukia Jiwe!

Na namchukia,kasirika mpaka upasuke!

Ni haki yangu!

Na wewe kua TZ hakukufanyi wewe kua ni mwanadamu bora sana ya wanadamu wote sababu tu upo kwenye kipande cha ardhi kinaitwa TZ!

Na wewe kua TZ ambacho ni kipande cha ardhi kama vipande vingine vyovyote duniani vya ardhi hakusemi wewe una maendeleo sana,huna pesa,huna biashara yenye kubadili maisha ya wanadamu,huna pesa,hufanyi kazi kwenye mashirika serious duniani,huna elimu yenye maana,unakaa makazi duni kama wanadamu wengine,huna material wealth ya aina yoyote,most certainly huna moral wealth yoyote ile kwa jinsi unavyotukana na ku undervalue wanadamu wasiompenda mtu umpendae wewe binafsi!

Kudhibitisha mafanikio yako binafsi hapa,weka jina na details ya makampuni unayomiliki,material wealth zote unazomiliki,etc,tutaverify kweli wewe umepita kila mtu hasa uliowatukana walioko USA kwamba umewazidi kila kitu!

Hapo ndio utakua na moral authority ya kutukana watu kua umewapita kila kitu!

Otherwise,funga matako yako,endelea kutoa lip service to Jiwe’s dick!

Go on,suck it up!

Fvck outta here!
 
ahaha
 
Majizi na mafisadi yanajifariji mitandaoni kumwombea magu mabaya ni wakati Kwa serikali kuwashuguliki kikamilifu wapotezwe haraka sana
 
Rais wetu hawezi kufa kwasababu hata mungu anatambua kazi yake juu ya watu wake ukawa na yaliyomo yote ndo laana ya kifo itawarudia wao wapumbav hao... Na hawatakaa waingie ikulu maishaa wahuni Sana Hawa jamaa akiwemi zitto kabwe na kigogo wao Alie wafunga na kuwashika matako wote wakafuata.
 
Kuna taarifa kuwa Raisi Magufuli ni mzima hana tatizo la kutisha la kiafya. Lakini ni wazi kwamba Ikulu na Kurugenzi ya Habari walijua hili na waliona jinsi gani taarifa kuhusu afya ya raisi imekuwa ikienea kwa kasi kwa muda wa siku tatu. Matokeo ni kwamba kamouni yetu ambayo inafanya miamara mikubwa na nchi za nje imepata mamilioni ya hasara, kutokana na "speculation" kwamba afya ya Raisi Magufuli ingeleta mtafaruki nchini.

Sasa tulikuwa tukiwaambia watu wa nje tunasuburi taarifa rasmi za Ikulu, kumbe hawa jamaa saa zote wanakunywa chai Ikulu bila kujali athari za kibiashara kuhusu taarifa zisizothibitishwa kuhusu afya ya Raisi. Tumekasirika sana. Tunajiuliza Ikulu hawajui athari juu ya vitu kama hivi katika mambo ya biashara za mataifa? Kwa nini walikaa kimya makusudi? Hivi wanafikiri kila jambo ni kuwakomoa wanasiasa wa upinzani?

Bado tnasema, kama IKulu waliamua kutokanusha taarifa hizi kwa makusudi kabisa ili kuzidi kuchochea taarifa za uongo, basi Ikulu yetu na Kurugenzi ya Habari vinakaliwa na watu wa ajabu ambao hawajawahi kutokea dunia hiii, hawana uwezo wa kufikiri mambo nje ya wigo wa siasa za upinzani. Pathetic.
 
Ukijifanya una Akili sana na mwenye ' Kiherehere ' mbele ya Watu ( Wenzako ) kwa kuwekeza mno harakati zako za Kimaisha kuna wenye Akili kukuzidi Wewe ambao wanaweza Kujipanga vyema na ' Kiutaalam ' zaidi ili Kukumaliza na wala siyo ama Kukudhuru au Kukua bali ni kwa Akili ndogo tu ila yenye ' Ufundi ' mwingi.

Watapandikizwa tu Watu kisha wajifanye wapo ' Jikoni ' halafu wataomba Urafiki nawe kisha watajitambulisha Kwako ama moja kwa moja au hata kwa Ishara tu kuwa wanatokea kule ambako Wewe hukupendi na unakuchukia sana kila mara wanakuwa wanakupa taarifa za Uwongo na Wewe kwa ' Upumbavu ' wako unaruka nazo hivyo hivyo wakati kumbe wanakuwa wameshakusanifu tu na kukudanganya kwa kila Kitu.

Mpaka ukija Kuwashtukia unajikuta ' Twitani, Istangramuni na Facebukuni ' umebaki peke yako tu na Aibu kubwa ikikushika na kukuandama kila mara. Kuna Mtanzania leo amepigwa Ngumi Moja Kali ya ' TKO ' na Bondia Mtanzania aishiye Geita Guma katika Pambano lao Kali na la Kusisimua lililoanza ' Kupromotiwa ' tokea Majuzi na leo mida ya Alasiri Kuelekea Jioni Bondia huyo wa Geita ameibuka Mshindi huku Mpinzani wake Bondia Gogoki.

Ama hakika huyu Bondia Guma ' ametuumbua ' Mashabiki amba tulikuwa tukimpenda na wapo wengine ambao walienda mbele hadi kutoka Bondia Gogoki amuue kabisa Bondia Guma Ulingoni lakini akakuta Mwenyezi Mungu anampenda na anamlinda mno Bondia Guma hivyo hakuna alichoambulia japo alijifanya anajua sana Kupigana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…