Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ujifunze kuhubiri haki, umoja na upendo kwa watu wote, badala ya kuendeleza chuki na uonevu kwa watu ambao hawajakufanya chochote.
 
Imani ya watu kwake itapungua maana alichopost in the last 3 days ni matango hasa
 
Kweli kabisa kapigwa za uso hatari Sana

Na hii Ngumi inayoitwa ' 408 Jab ' ya Bondia Guma ilimuingia vilivyo Bondia Gogoki ambaye tokea Majuzi hadi leo alikuwa akitamba sana kuwa atashinda na Watu wengi tulimuamini na hasa pale aliposema kuwa ana uhakika kuwa lazima Bondia Guma atakufa lakini kaja ' Kupigwa ' Yeye na hata sasa hivi haamini kuwa imekuwaje. Na asivyo na Aibu ( Uso wa Haya ) najua pamoja na kwamba ana Majeraha ya ' 408 Jab ' ya Bondia Guma bado tu ataendelea ' Kujitutumua ' kwa Mashabiki wake ambao bahati mbaya nasi tumejaa ' Upumbavu ' wa Kutosha tu na ' atatuokota ' tena kama kawaida yake.
 
Diwani Athumani anairudisha Tiss ya Kina Apson na Dr Mahiga

Kuelekea kwenye Uchaguzi kuna Uongo Mwingi huwa unazushwa so ilikuwa ni Muhimu kutengeneza Tango pori la kiwango kile ili next time hata wakipata habari ya kweli wawe wanajiuliza Mara mbili mbili ku post na hata wakipost lazima tuwatilie Mashaka

Dola lilitaka ku test mfumo wake wa Siri kama upo timamu na kweli imedhihiri upo timamu kiasi kwamba Ikiamriwa Rais asijulikane alipo basi mpaka Mawaziri wenyewe wanasikilizia habari kwenye Wasap na Instagram

Lazaro Nyalandu alipost mpaka Mishumaa
 
Ficha ujinga wako, watanzania tulikuwa busy tunasali, wewe na wanafiki wenzako msiozidi 10 na ID fake kibao mlikuwa mnajitekenya
Vizuri ujumbe ameupata, sina hakika kama ataendelea kuwaamini ninyi wachumia tumbo.
 
Walianza na story AMEKUFA, Leo nkaanza kuona habari oooh yuko Ujerumani. Ni mtu mwenye AKILI TIMAMU tu angeweza kuhoji mmesema AMEKUFA, Leo tena yuko Germany inawezekanaje?Taarifa za AMEKUFA walizitoa wapi?Taarifa za yuko Germany walitoa wapi?Ila kwakua kuna watu ni NYUMBU huwa haiwahitaji TAFAKURI yyt zaidi ya kushangilia kile wanachopenda kusikia. Naamini NYUMBU huwa haelimishiki, atakuja na uongo mwingine watanasa tu.Mimi binafsi alipoona ni mtu wa kuhoji sana akaniblock, So utaona jamaa ana followers wa aina gani.
 
Mkuu hakuna system hai ya kupanga mbinu hii kumfedhehesha mkuu ili kumkomoa whistle blower kama Kigogo. Japo katika maisha kila jambo kwa sisi wa kiroho lina sababu yake njema.
 
Hivi hamjajifunza kwamba kuna tatizo? Iweje maelfu ya watanzania waoneshe kufurahia hicho "KIFO" badala ya huzuni? Tafakari.
Maelfu kwa Takwimu zipi?Yaani haters wa Magufuli walewale wa kila siku unataka kusema maelfu?Pitia huko Tweeter uone jamaa yako anavyotukanwa na uone watu walivyoshangilia kumuona JPM mzima.
 
Ficha ujinga wako, watanzania tulikuwa busy tunasali, wewe na wanafiki wenzako msiozidi 10 na ID fake kibao mlikuwa mnajitekenya
Unaongelea kupitia tundu lipi? La juu ama huko chini?
 
Ina maana huyu nyalandu pia aliingizwa chaka!
 
Hivi hamjajifunza kwamba kuna tatizo? Iweje maelfu ya watanzania waoneshe kufurahia hicho "KIFO" badala ya huzuni? Tafakari.
Watanzania wa wapi hao?Msitake kugeneralize kilichopo mioyoni mwenu as if ndio kila mtu anawaza hivyo.Kikundi kidogo cha wahuni, wakurupukaji na wazushi ndio unaita watanzania.Hebu omba radhi kwa kuwafananisha watanzania na vitu vya ajabu
 
hakikisha mmeo anapata unyumba leo
 
Maelfu kwa Takwimu zipi?Yaani haters wa Magufuli walewale wa kila siku unataka kusema maelfu?Pitia huko Tweeter uone jamaa yako anavyotukanwa na uone watu walivyoshangilia kumuona JPM mzima.
Ameshapata funzo, ninyi wachumia tumbo hatowapatia kipaumbele sana.
 
Watanzania wa wapi hao?Msitake kugeneralize kilichopo mioyoni mwenu as if ndio kila mtu anawaza hivyo.Kikundi kidogo cha wahuni, wakurupukaji na wazushi ndio unaita watanzania.Hebu omba radhi kwa kuwafananisha watanzania na vitu vya ajabu
Uzuri ameshapata funzo, ninyi wachumia tumbo hatowapatia kipaumbele tena.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…