iko wapi iyo mishumaa?Diwani Athumani anairudisha Tiss ya Kina Apson na Dr Mahiga
Kuelekea kwenye Uchaguzi kuna Uongo Mwingi huwa unazushwa so ilikuwa ni Muhimu kutengeneza Tango pori la kiwango kile ili next time hata wakipata habari ya kweli wawe wanajiuliza Mara mbili mbili ku post na hata wakipost lazima tuwatilie Mashaka
Dola lilitaka ku test mfumo wake wa Siri kama upo timamu na kweli imedhihiri upo timamu kiasi kwamba Ikiamriwa Rais asijulikane alipo basi mpaka Mawaziri wenyewe wanasikilizia habari kwenye Wasap na Instagram
Lazaro Nyalandu alipost mpaka Mishumaa
KAolewa?Sawa dada tumekusikia
Ina maana huyu nyalandu pia aliingizwa chaka!
Baadae wakaja kusema video recorded...so unajiuliza inamaana walijua ataumwa wakaamua kurecord😂😂 mwingine akajifanya daktari na kusema mkulu kafanyiwa heart bypass...yani kizembezembe tu ufanyiwe heart bypass kesho yake uende kutoa hotuba😂Walianza na story AMEKUFA, Leo nkaanza kuona habari oooh yuko Ujerumani. Ni mtu mwenye AKILI TIMAMU tu angeweza kuhoji mmesema AMEKUFA, Leo tena yuko Germany inawezekanaje?Taarifa za AMEKUFA walizitoa wapi?Taarifa za yuko Germany walitoa wapi?Ila kwakua kuna watu ni NYUMBU huwa haiwahitaji TAFAKURI yyt zaidi ya kushangilia kile wanachopenda kusikia. Naamini NYUMBU huwa haelimishiki, atakuja na uongo mwingine watanasa tu.Mimi binafsi alipoona ni mtu wa kuhoji sana akaniblock, So utaona jamaa ana followers wa aina gani.
iko wapi iyo mishumaa?
Ameshapata funzo, ninyi wachumia tumbo hatowapatia kipaumbele sanaWalianza na story AMEKUFA, Leo nkaanza kuona habari oooh yuko Ujerumani. Ni mtu mwenye AKILI TIMAMU tu angeweza kuhoji mmesema AMEKUFA, Leo tena yuko Germany inawezekanaje?Taarifa za AMEKUFA walizitoa wapi?Taarifa za yuko Germany walitoa wapi?Ila kwakua kuna watu ni NYUMBU huwa haiwahitaji TAFAKURI yyt zaidi ya kushangilia kile wanachopenda kusikia. Naamini NYUMBU huwa haelimishiki, atakuja na uongo mwingine watanasa tu.Mimi binafsi alipoona ni mtu wa kuhoji sana akaniblock, So utaona jamaa ana followers wa aina gani.
Mlikuwa mnasali kwa ajili ya nani?Ficha ujinga wako, watanzania tulikuwa busy tunasali, wewe na wanafiki wenzako msiozidi 10 na ID fake kibao mlikuwa mnajitekenya
Hii ndo issue ya kujadili sasa.Hivi hamjajifunza kwamba kuna tatizo? Iweje maelfu ya watanzania waoneshe kufurahia hicho "KIFO" badala ya huzuni? Tafakari.
Ogopa nguvu ya mitandao, mtu mmoja anaweza kuwa jeshi la watu million moja. Nguvu hii ingeelekezwa kwenye masuala ya Msingi tungekuwa mbali sana.Kuna la kujifunza mbona shangwe zilikuwa ni nyingi kuliko majonzi?? Tafakari chukua hatua.
Umejuaje ana mume na hua anamuhudumia kitandaniTena huyo alikubali kumuacha kumuhudumia mumewe kitandani akawa anaongoza jaramba!
Wewe umejibu kutoka wapi?Shangwe kutoka wapi?
Walianza na story AMEKUFA, Leo nkaanza kuona habari oooh yuko Ujerumani. Ni mtu mwenye AKILI TIMAMU tu angeweza kuhoji mmesema AMEKUFA, Leo tena yuko Germany inawezekanaje?Taarifa za AMEKUFA walizitoa wapi?Taarifa za yuko Germany walitoa wapi?Ila kwakua kuna watu ni NYUMBU huwa haiwahitaji TAFAKURI yyt zaidi ya kushangilia kile wanachopenda kusikia. Naamini NYUMBU huwa haelimishiki, atakuja na uongo mwingine watanasa tu.Mimi binafsi alipoona ni mtu wa kuhoji sana akaniblock, So utaona jamaa ana followers wa aina gani.
Hivi hamjajifunza kwamba kuna tatizo? Iweje maelfu ya watanzania waoneshe kufurahia hicho "KIFO" badala ya huzuni? Tafakari.
Iwapo ataendelea kuweka pamba masikioni kwake, akae akijua SIKU YA KIFO CHAKE kuna baadhi ya watanzania watakesha wakila "bia" na nyama choma. Mwambieni Mungu FUNDI.Sikia, ukiona wengi wanakuchukia jiulize wachache wanaokupenda wanakupendea nini? Na ikiwa wengi wanakupenda, pia jiulize wachache wanaokuchukia wanafanya hivyo Kwa sababu zipi? It's a wisedom of great thinkers.
Mwisho wa siku hatupaswi kuishi kutokana na vile watu wanatuchukulia Bali tuishi kwa utashi wetu wenyewe. Regardless of what the internet says, focus is everything for a moment like this. Haya yaliyotokea yaliwahi kutokea na yatatokea tena,muhimu ni kuingia mchezoni na kuusoma mchezo huku unacheza.
Hakuna cha maelfu, ni wajinga wachache wa chadema! Huku nilipo hata habari hawana na hata huo uteuzi na uapishwaji hawajuiHivi hamjajifunza kwamba kuna tatizo? Iweje maelfu ya watanzania waoneshe kufurahia hicho "KIFO" badala ya huzuni? Tafakari.
Iwapo ataendelea kuweka pamba masikioni kwake, akae akijua SIKU YA KIFO CHAKE kuna baadhi ya watanzania watakesha wakila "bia" na nyama choma. Mwambieni Mungu FUNDI.Hakuna cha maelfu, ni wajinga wachache wa chadema! Huku nilipo hata habari hawana na hata huo uteuzi na uapishwaji hawajui