Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Diwani Athumani anairudisha Tiss ya Kina Apson na Dr Mahiga

Kuelekea kwenye Uchaguzi kuna Uongo Mwingi huwa unazushwa so ilikuwa ni Muhimu kutengeneza Tango pori la kiwango kile ili next time hata wakipata habari ya kweli wawe wanajiuliza Mara mbili mbili ku post na hata wakipost lazima tuwatilie Mashaka

Dola lilitaka ku test mfumo wake wa Siri kama upo timamu na kweli imedhihiri upo timamu kiasi kwamba Ikiamriwa Rais asijulikane alipo basi mpaka Mawaziri wenyewe wanasikilizia habari kwenye Wasap na Instagram

Lazaro Nyalandu alipost mpaka Mishumaa
iko wapi iyo mishumaa?
 
Walianza na story AMEKUFA, Leo nkaanza kuona habari oooh yuko Ujerumani. Ni mtu mwenye AKILI TIMAMU tu angeweza kuhoji mmesema AMEKUFA, Leo tena yuko Germany inawezekanaje?Taarifa za AMEKUFA walizitoa wapi?Taarifa za yuko Germany walitoa wapi?Ila kwakua kuna watu ni NYUMBU huwa haiwahitaji TAFAKURI yyt zaidi ya kushangilia kile wanachopenda kusikia. Naamini NYUMBU huwa haelimishiki, atakuja na uongo mwingine watanasa tu.Mimi binafsi alipoona ni mtu wa kuhoji sana akaniblock, So utaona jamaa ana followers wa aina gani.
Baadae wakaja kusema video recorded...so unajiuliza inamaana walijua ataumwa wakaamua kurecord😂😂 mwingine akajifanya daktari na kusema mkulu kafanyiwa heart bypass...yani kizembezembe tu ufanyiwe heart bypass kesho yake uende kutoa hotuba😂
 
Walianza na story AMEKUFA, Leo nkaanza kuona habari oooh yuko Ujerumani. Ni mtu mwenye AKILI TIMAMU tu angeweza kuhoji mmesema AMEKUFA, Leo tena yuko Germany inawezekanaje?Taarifa za AMEKUFA walizitoa wapi?Taarifa za yuko Germany walitoa wapi?Ila kwakua kuna watu ni NYUMBU huwa haiwahitaji TAFAKURI yyt zaidi ya kushangilia kile wanachopenda kusikia. Naamini NYUMBU huwa haelimishiki, atakuja na uongo mwingine watanasa tu.Mimi binafsi alipoona ni mtu wa kuhoji sana akaniblock, So utaona jamaa ana followers wa aina gani.
Ameshapata funzo, ninyi wachumia tumbo hatowapatia kipaumbele sana
 
Kuna la kujifunza mbona shangwe zilikuwa ni nyingi kuliko majonzi?? Tafakari chukua hatua.
Ogopa nguvu ya mitandao, mtu mmoja anaweza kuwa jeshi la watu million moja. Nguvu hii ingeelekezwa kwenye masuala ya Msingi tungekuwa mbali sana.
 
Walianza na story AMEKUFA, Leo nkaanza kuona habari oooh yuko Ujerumani. Ni mtu mwenye AKILI TIMAMU tu angeweza kuhoji mmesema AMEKUFA, Leo tena yuko Germany inawezekanaje?Taarifa za AMEKUFA walizitoa wapi?Taarifa za yuko Germany walitoa wapi?Ila kwakua kuna watu ni NYUMBU huwa haiwahitaji TAFAKURI yyt zaidi ya kushangilia kile wanachopenda kusikia. Naamini NYUMBU huwa haelimishiki, atakuja na uongo mwingine watanasa tu.Mimi binafsi alipoona ni mtu wa kuhoji sana akaniblock, So utaona jamaa ana followers wa aina gani.

Mimi nilipochoka kabisa ni pale ' Wapumbavu ' ambao Siku zote amekuwa ' akituokota ' na huwa anatupatia kweli kweli ( sijui Katuroga ) aliposema kuwa ' Taita ' wa Tanzania Saa 8 ya mchana alikuwa University Medical Center tena hadi Chumba tukatajiwa kuwa ni 408 na kama kawaida ' Wapumbavu ' tukaamini na ' Kushadadia ' mara ghafla Saa 10 Jioni namwona ' Taita ' akiwa zake Nyumbani Baharini tena mzima na buheri kabisa wa Afya nikashangaa ila nikajiona ni ' Mpumbavu ' kwelikweli. Hata Ndege bora, ya Kisasa na yenye kila aina ya Utaalam na Ubunifu ' Air Force One ' yake Rais Trump wa Marekani haina Ubavu wa Kuruka kutoka Berlin hadi Dar es Salaam kwa Masaa Mawili na kama ikijitahidi sana na kwa Spidi zake zote itatumia kati ya Masaa 7 hadi 9 kuweza Kufika. Ila Jamaa ' ametuokota ' kweli Siku tatu mbili hizi hakyanani. Ahsante Mwenyezi Mungu ' Taita ' amerejea katika Majukumu yake ya kawaida na tunakuomba Umlinde, Umkinge na Umbariki azidi Kutuletea Maendeleo na umpe Uhai mrefu na kama utaona inafaa basi Mimi An Eagle nakuomba Baba Mungu anza Kumtanguliza huyo ' Mzushi ' Makaburini na ukiweza hata na wale wote waliokuwa ' Wakimshadadia ' nao pia wapeleke Mavumbini / Makaburini upesi ili wajue kuwa hata kama Binadamu tunachukiana lakini hatupaswi Kuombeana Kifo kwani mwenye Mamlaka ya Kifo / Vifo ni Wewe Baba Mungu peke yako.
 
Sikia, ukiona wengi wanakuchukia jiulize wachache wanaokupenda wanakupendea nini? Na ikiwa wengi wanakupenda, pia jiulize wachache wanaokuchukia wanafanya hivyo Kwa sababu zipi? It's a wisedom of great thinkers.

Mwisho wa siku hatupaswi kuishi kutokana na vile watu wanatuchukulia Bali tuishi kwa utashi wetu wenyewe. Regardless of what the internet says, focus is everything for a moment like this. Haya yaliyotokea yaliwahi kutokea na yatatokea tena,muhimu ni kuingia mchezoni na kuusoma mchezo huku unacheza.
Hivi hamjajifunza kwamba kuna tatizo? Iweje maelfu ya watanzania waoneshe kufurahia hicho "KIFO" badala ya huzuni? Tafakari.
 
Iwapo ataendelea kuweka pamba masikioni kwake, akae akijua SIKU YA KIFO CHAKE kuna baadhi ya watanzania watakesha wakila "bia" na nyama choma. Mwambieni Mungu FUNDI.
 
Hakuna cha maelfu, ni wajinga wachache wa chadema! Huku nilipo hata habari hawana na hata huo uteuzi na uapishwaji hawajui
 
Wadau toka ule uvumi usambae ulifutwa na kujitokeza kwa JPM mwenyewe siku ya jumapili kuwaapisha wateule wake aliowateua siku moja kabla hivyo kukata ngebe za wabaya wake. Siku hiyo alionekana yupo imara shabibu kabisa tofauti na walivyosema wanaa Sasa toka siku hiyo sijamuona tena mzee wa kazi chuma chetu akiendelea na mishemishe zake za uzinduzi na ziara zake mbalimbali hapa nchini, maana ni nadra sana mkuu kutoonekana live kwenye media mbalimbali siyo kawaida yake anayejua yuko wapi atujulishe sisi wanae kindakindaki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom