Walianza na story AMEKUFA, Leo nkaanza kuona habari oooh yuko Ujerumani. Ni mtu mwenye AKILI TIMAMU tu angeweza kuhoji mmesema AMEKUFA, Leo tena yuko Germany inawezekanaje?Taarifa za AMEKUFA walizitoa wapi?Taarifa za yuko Germany walitoa wapi?Ila kwakua kuna watu ni NYUMBU huwa haiwahitaji TAFAKURI yyt zaidi ya kushangilia kile wanachopenda kusikia. Naamini NYUMBU huwa haelimishiki, atakuja na uongo mwingine watanasa tu.Mimi binafsi alipoona ni mtu wa kuhoji sana akaniblock, So utaona jamaa ana followers wa aina gani.