Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Nyie mwombeeni aishi, siye tuache tunaomuombea aondoke. Mwisho wa siku tutaona mshindi wala msi panick.
 
Safi sana!
 
Kwani huku mtandaoni ndiyo watanzania wote walipo? Huku wamejaa wabeba mabox na mawakala.wa mafisadi!!
 
Ben Saanane yuko wapi?
 
Binafsi siwezi Magufuri afikwe na Mabaya. Kama ni kweli anaumwa basi Mungu amponye ili arudi na kuendelea na shughuli za kulijenga Taifa. Magu tunampinga kwa baadhi ya mambo, lkn kiukweli ni Jembe.

Na siku zote hauwezi kumlidhisha kila mwanadamu

Ana mazuri Mengi sana amefanya kwa Tanzania, sasa hivi Nchi imekua na adabu Watanzania wote ni sawa hakuna zile habari za unanijua mimi ni nani

Get well soon mh Raisi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…