Kuna mazito yanaendelea yanatisha mzee
Hayaelezeki elewa hivyo
Mmmh kuna tatizo lolote juu ya afya yake?
Ni majaliwa yake Mungu Baba kuuona mwaka!
Nimejikuta nawasikiliza Sikinde Ngoma ya Ukae... dah vijana wa siku hizi sidhani kama wanawafahamu akina Bichuka na Rehani
Mhhh.... ngoja nitege sikio vyemaHapo ndo nimefunguka kidogo mkuu. Nikirejea nafunguka kikubwa, mamlaka zinafanya kazi kuhakikisha usalama unakuwepo. Mvua hizi si nzuri kwa walio wengi ingawa wengine (ambao ni wengi pia) inaonekana ni baraka kwao
Wahenga walisema dua ya kuku haimpati mwewe. Sio maneno yangu nilikua ktk kumbukizi tuNASIKIA ZA CHINI YA KAPETI KUNA NTUUU.... KACHOMOA NYAYA ZA BETRI KUU[emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24]
Swali zuri ubarikiweKWANI UMESIKIA MSIBA WAPI
Halafu kinachonishangaza kuna kundi lile la mapambio ni kama halipo kabisa leo angalau kuongea chochoteKwani huku mtandaoni ndiyo watanzania wote walipo? Huku wamejaa wabeba mabox na mawakala.wa mafisadi!!
Kuna ukweli gani kwamba anaumwa?I do agree and pray with you that our president is going to be alright
Hii si habari ya kufurahisha hata kidogo pamoja na madhaifu mengi ya Meko ila si kumuombea afe hata kidogo.Jamiiforums imepoteza ubora wake kabisa. Kimekuwa kichaka cha watu wenye roho mbaya roho za kutu.
U great thinkers ule wa miaka ya 2011 hakuna tena. Ni majungu tu na mipasho.
Moderators na mmiliki wa jamiiforums jiangalieni. Mnachochea chuki kuliko kujenga.
Tumekumbuka misri kwenye nyama na asali. Kaanan tunawaachia karebo na mwenzake joshuaIla wabongo mna roho ngumu, mnataka Rais wa aina gani zaidi? JPM ni jembe, linalima kwelikweli.. Tulitaka Rais kama JPM anayeweza kumwajibisha mtu yeyote.. Mungu katuletea JPM lakn bdo mnaleta uchuro wenu, mtakufa ninyi, yey atadunda na nchi itanyooka.. Mshndwe ktk jina la Yesu aliye hai.
kwamba mama wa magufuli kafa au?
Sijamsikia Jiwe leo siku nzima.
Ile team imepotea ghafla ila akiongea tu watarudi harakaHalafu kinachonishangaza kuna kundi lile la mapambio ni kama halipo kabisa leo angalau kuongea chochote
NB: Bado nasimama pale pale, ningekuwa moderator huu uzi ningesha udelete kwa manufaa ya umma
Unamaanisha niniSijamsikia Jiwe leo siku nzima.