Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Hakuna mwenye guts hizo, nani?
Ila mie baada ya tukio la "kutoweka" kwa computers za DPP nimeingiwa na woga wa lolote complicated kutokea.
Haya mambo ya kurudisha mshiko kwenye viroba ni rahisi watu kuwazia mbali sana jinsi ya kuondoa kikwazo chochote mbele yao
 
Ikiwa kweli sijui nitachinja nini. Lkn nilishaota hiki kitu kitatokea.
Hii ni law ya Karma kuhusu maisha ya viumbe. Asilimia 30 ya watu waliosubiri na kuchekelea fulani afe walifariki wao kabla. Na asilimia 50 ya wale ambao waliweza kuishi na kuona waliyemwombea kifo afe na akafa nao walifariki miaka michache baada ya waliyemwombea kufariki.
 
Pengine hao mods wana fununu tayari ya kinachoendelea.
Halafu kinachonishangaza kuna kundi lile la mapambio ni kama halipo kabisa leo angalau kuongea chochote

NB: Bado nasimama pale pale, ningekuwa moderator huu uzi ningesha udelete kwa manufaa ya umma
 
Analima kwa kupeleka raslimali za nchi chato.. katiba kaikanyaga anataka tumfate yeye watu.mil 60, bunge ameua, mahakama ameua, jeshini nako anataka kuweka watu wake.

Lakini kumtakia mtu kifo si jambo zuri
 
Naona watu wanaombea mabaya wengine lakini kaeni mkijua hakuna kitu kama hicho watu wanaoichukia hii serikali na kuiombea mabaya wao ndio watangulia
 
Ww ndio mchawi humu...
 
Ila mie baada ya tukio la "kutoweka" kwa computers za DPP nimeingiwa na woga wa lolote complicated kutokea.
Haya mambo ya kurudisha mshiko kwenye viroba ni rahisi watu kuwazia mbali sana jinsi ya kuondoa kikwazo chochote mbele yao
Watu wamemfix mkulu tayari si alijiona mjanja? Kumbe msamba tu, Chezea akili kubwa
 
Utakufa na kijiba cha roho ww...
Kwani mimi nikifa utapata faida gani wewe. Mimi niko tayari kufa nakutetea uhuru wa kujieleza na demokrasia Tanzania. Nchi yetu nzuri tulikuwa tunaishi kwa upendo ila hili Jiwe kutoka Rwanda linaivuruga kila siku.

Nyinyi ambao mumeamua kukaa kimya endeleeni kukaa kimya. Ila sisi wengine tutapaza sauti kwa kila namna mpaka aache huo UDIKTETA wake. Na hatuwezi kutunyamazisha.
 
Mbona nchi italipuka kwa shangwe hutaamini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…